VIDEO: Idris Sultan afanya vimbwanga Jukwaani

VIDEO: Idris Sultan afanya vimbwanga Jukwaani

Yan zle 500ml zlienda na maji

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Mbona nasikia ana bonge ya nyumba?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wakuu mna andika kama kila mmoja wenu ana uhakika jamaa kafirisika.

Na vipi siku mkiskia kwamba amezichimbia chini anasubiri mwaka 2018 aje awafunge midomo?

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
 
Wadau ile nyumba yake inaweza ikawa na thamani ya tshs. Ngapi kwa anaejua vizuri

iPhone 6s
 
Unaambiwa huyo ndo Muhenga aliyesema "Ponda Mali kufa kwaja"... Hizo M500 kwake zilikuwa ni hela za mboga
 
Navosikia haikuwa nyumba yake alipewa na mwarabu flani iv akute anakaa so asa iv haishi humo tena ashahama

Post sent using JamiiForums mobile app
Duh! Okay dats why huwa haioneshi hyo nyumba na huyu ni mtu wa show off sana, bac nimeamini mchz Kafulia na ss anaishi kwa jina lake tuuuu

iPhone 6s
 
Back
Top Bottom