Video: Idris Sultan amkacha Wema Sepetu kweupee!

Video: Idris Sultan amkacha Wema Sepetu kweupee!

Shemej unajua hiyo Avatar imenichanganya nkajua mzigo mpya umeingia kumbe wewe? afu shemej leo ndio ulienda kule kwa jana nini maana hata msg sijaona kabisa
ahahahhahh shemej ukajua mzigo mpya ili uzame pm [emoji28][emoji28]ukakutane na vitu visivyoeleweka alaf shemej sitaki kuulizwa kuhusu kama nilienda kwa jana
 
Hii ilitokea juzi wakati wa fiesta ambapo mwandishi akiwa anamhoji Wema Sepetu, Idris aliyekuwa pembeni aliteleza kama maji na kutokomea kusikojulikana!Hali hiyo ilimuacha mlimbwende Wema kwenye taharuki na kupigwa mshangao hata kujibu maswali kwa wasiwasi...Jionee mwenyewe.

Hivi huyu kipusa official language yake ni ipi au ndio yale yale ya ivory [HASHTAG]#inkibasvoice[/HASHTAG]
 
ahahahhahh shemej ukajua mzigo mpya ili uzame pm [emoji28][emoji28]ukakutane na vitu visivyoeleweka alaf shemej sitaki kuulizwa kuhusu kama nilienda kwa jana
Sshemej yaani hapa nilijiandaa kuzama na vina vilivyoenda shule daah. Mungu anakuona.

Shemej najua leo ulienda kule kwa jana em njoo basi ununue Heineken si unajua tunatumia ile falsafa ya mchizi Mox? unakumbuka? yeye anachunwa sisi tunamega kisera
 
ahahahhahh shemej acha tu nilichokutana nacho, ila mm na ww kuonana mpk dec siwezi kuja kukununulia heinkenn umejua nichekesha yaan shemej ww
 
ahahahhahh shemej acha tu nilichokutana nacho, ila mm na ww kuonana mpk dec siwezi kuja kukununulia heinkenn umejua nichekesha yaan shemej ww
Shemej em njoo pm unipe huo mkasa maana nahisi utakuwa mtamu. afu nilihis kuwa lazima ulikuwa umeenda maana sio kawaida yako kunichunia sku nzima.

Shemej njoo twende kwa dj tukanywe heieneken tafadhali najua umeondoka na mzigo wa maana.
afu leo nilikuwa na koloni langu moja hivi. twenzetu pm basi
 
Na uzinzi pia unachosha mwili...hasa mwanamke ukiwa wa kubadilisha wanaume kila mwezi lazima uchoke haraka..waswahili waita KUJITUNZA,ukijumlisha na pombe anazokunywa + kufulia ndio kabisaaa,maana Wema sasa hivi amefulia sio mchezo
Nini kinamnenepesha vile mkuu?
 
unanichosha ujue na maswali yako jua tu anatumia madawa
Basi hata idris na domo nao ni wale wale? Kama iko hivyo basi wopa, uwoye, shangazi ezekyeli, lulyu, jaketi mwe-girl na key-ber wamepanda basi moja, au unataka kusemaje?
 
Anakula WHITE baada kukutana na Washua ambao huwa hawatumii ule wa Lord Eyes.
Anakula mambo akizima wana JIKAZIA tu wana
 
Haters ni asili ya watu wengi ambao hawajafanikiwa. Kwanini tusikubali watoto waliokulia kwenye nchi zenye maendeleo duniani hawako sawa na watoto wengi waliokulia kwenye nchi hoehae!

Imagine Obama angekulia Kenya angeukwaa urais wa marekani? Hell no! Kwa hiyo mtoto wa mbele hawezi kukingana exposure na wamaneromango!
Akili za kimaskini.
 
Akili za kimaskini.
Inasikitisha sana pale unapolazimisha kuongea kiingereza ni ishara ya utajiri, lazima tukubali lugha ni lugha haaa, mbona wabongo tunaubishi wa kipuuzi sana?!
 
Watoto wa mabalozi sio familia bora kama unavotaka tuamini, na kukulia nje ya nchi haimaanishi wewe Ni special kuliko wengine wako wengi wa namna Hiyo choka mbaya sijui kwa nini mnakua na notion ya namna Hiyo?
Jamaa hajazungumzia KIPATO kazungumzia LUGHA, sasa haya ya kusema familia bora yanatoka wapi kwani kuongea kiingereza lazima uwe mtoto wa kishua?! Au lazima uwe na pesa? Huyu wema kakulia nje lugha ya kwanza ilikuwa kiingereza sasa kuna shida gani ukiambiwa ndio lugha ya kawaida kwake yeye haoni tofauti akiongea kiingereza au kiswahili kikubwa kwake ameongea.
 
Nilivyoelewa hiyo clip ni kwamba idrissa alijua shadee ataanza kumhoji yeye alivyoona amemuanza wema akaona atagandishwa akaamua ale kona.
 
Back
Top Bottom