Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah nipo sanaBinamu upo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mihogo inazeesha [emoji13] [emoji13] [emoji87] [emoji87]
Mambo madogo madogo tu cousin bt now tuko pamojaDaaah nipo sana
Unavonifanyia siyo kabisa cousin
Si kwa kupotea huko!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bamia nimecheka sana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Inatakiwa aanze kupata bamia hata zeeka
Afadhali maana nilikuwa hata sioni raha kuepo hapa bila wewe.Mambo madogo madogo tu cousin bt now tuko pamoja
[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bamia nimecheka sana
[emoji4] [emoji4]Afadhali maana nilikuwa hata sioni raha kuepo hapa bila wewe.
Na yeye ndo bamia hataki sasa,[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Faida ya bamia hata zeeka, mbona kama mihogo ashapata sana hadi ina muharibu sasa, abadilishe naye
DAAAAHHH, WEEEE ni noooma mkuuu, nimecheka hatariiiii. mara nyingi yupo wapi? ha ha ha haaaaa.Mkuu huyo dada kazi yake ni kuigiza,kwahiyo mara nyingi yupo location[emoji38]
Cocain na kupigwa huku miti pia anaweza kuwa keshapata hitilafu za kiufundi[emoji14] [emoji14] [emoji14]
kwa kweli inasikitisha, na ndo imekuwa style ya hao so called celebrities wa Tanzania. It just makes me sick.I hate this talking style, nyambafuuu....mzungu si mzungu,si mchina....eti kiswahili hajui vizuri......sauti mbayaaa
kinyaturu...........Hivi huyu kipusa official language yake ni ipi au ndio yale yale ya ivory [HASHTAG]#inkibasvoice[/HASHTAG]
Kadanganye washamba wenzio Wema kakulia Mitaa ya Meeda tunamuona na miaka ya baba yake kuwa balozi na umri anaosema sidhani kama alikuwepoWema familia bora, mtoto wa balozi huyu amekulia na kukaa nje ya nchi miaka kibao. Kwa hiyo lugha yake ya kwanza sio kiswahili bali Ngeli. So kwa hilo muacheni aneng'eneke na lugha yake ya kuzaliwa.
HahahaNa yeye ndo bamia hataki sasa,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kama alivofanya big brohterHahaha
Basi wacha azeeke nayo hiyo
Mpaka mahogo yenyewe yana mkimbia sku hizi
Hii ilitokea juzi wakati wa fiesta ambapo mwandishi akiwa anamhoji Wema Sepetu, Idris aliyekuwa pembeni aliteleza kama maji na kutokomea kusikojulikana!Hali hiyo ilimuacha mlimbwende Wema kwenye taharuki na kupigwa mshangao hata kujibu maswali kwa wasiwasi...Jionee mwenyewe.
Kujibebisha hivi wakati ni mtu mzima ni ukosefu wa kujitambua.
kinyaturu...........