ahahahhahh shemej ukajua mzigo mpya ili uzame pm [emoji28][emoji28]ukakutane na vitu visivyoeleweka alaf shemej sitaki kuulizwa kuhusu kama nilienda kwa janaShemej unajua hiyo Avatar imenichanganya nkajua mzigo mpya umeingia kumbe wewe? afu shemej leo ndio ulienda kule kwa jana nini maana hata msg sijaona kabisa
Unaambiwa ukiwa usingizini ukaota ndoto ya choo usikitumie mkuu [emoji99] [emoji99] [emoji99]2020 anaenda kumtoa tundu lissu singida [emoji2][emoji2][emoji2]
Hanaga anajibebishaIle Romantic Voice ya Wema Sepetu imeisha kabisa!!sauti inazidi kupotea kila siku
Hivi huyu kipusa official language yake ni ipi au ndio yale yale ya ivory [HASHTAG]#inkibasvoice[/HASHTAG]Hii ilitokea juzi wakati wa fiesta ambapo mwandishi akiwa anamhoji Wema Sepetu, Idris aliyekuwa pembeni aliteleza kama maji na kutokomea kusikojulikana!Hali hiyo ilimuacha mlimbwende Wema kwenye taharuki na kupigwa mshangao hata kujibu maswali kwa wasiwasi...Jionee mwenyewe.
😀😀😀😀 Watu mna maneno duhh.Mkuu huyo dada kazi yake ni kuigiza,kwahiyo mara nyingi yupo location[emoji38]
Sshemej yaani hapa nilijiandaa kuzama na vina vilivyoenda shule daah. Mungu anakuona.ahahahhahh shemej ukajua mzigo mpya ili uzame pm [emoji28][emoji28]ukakutane na vitu visivyoeleweka alaf shemej sitaki kuulizwa kuhusu kama nilienda kwa jana
ahahahhahh shemej acha tu nilichokutana nacho, ila mm na ww kuonana mpk dec siwezi kuja kukununulia heinkenn umejua nichekesha yaan shemej wwSshemej yaani hapa nilijiandaa kuzama na vina vilivyoenda shule daah. Mungu anakuona.
Shemej najua leo ulienda kule kwa jana em njoo basi ununue Heineken si unajua tunatumia ile falsafa ya mchizi Mox? unakumbuka? yeye anachunwa sisi tunamega kisera
Shemej em njoo pm unipe huo mkasa maana nahisi utakuwa mtamu. afu nilihis kuwa lazima ulikuwa umeenda maana sio kawaida yako kunichunia sku nzima.ahahahhahh shemej acha tu nilichokutana nacho, ila mm na ww kuonana mpk dec siwezi kuja kukununulia heinkenn umejua nichekesha yaan shemej ww
Nini kinamnenepesha vile mkuu?Na uzinzi pia unachosha mwili...hasa mwanamke ukiwa wa kubadilisha wanaume kila mwezi lazima uchoke haraka..waswahili waita KUJITUNZA,ukijumlisha na pombe anazokunywa + kufulia ndio kabisaaa,maana Wema sasa hivi amefulia sio mchezo
Basi hata idris na domo nao ni wale wale? Kama iko hivyo basi wopa, uwoye, shangazi ezekyeli, lulyu, jaketi mwe-girl na key-ber wamepanda basi moja, au unataka kusemaje?unanichosha ujue na maswali yako jua tu anatumia madawa
Akili za kimaskini.Haters ni asili ya watu wengi ambao hawajafanikiwa. Kwanini tusikubali watoto waliokulia kwenye nchi zenye maendeleo duniani hawako sawa na watoto wengi waliokulia kwenye nchi hoehae!
Imagine Obama angekulia Kenya angeukwaa urais wa marekani? Hell no! Kwa hiyo mtoto wa mbele hawezi kukingana exposure na wamaneromango!
Inasikitisha sana pale unapolazimisha kuongea kiingereza ni ishara ya utajiri, lazima tukubali lugha ni lugha haaa, mbona wabongo tunaubishi wa kipuuzi sana?!Akili za kimaskini.
Jamaa hajazungumzia KIPATO kazungumzia LUGHA, sasa haya ya kusema familia bora yanatoka wapi kwani kuongea kiingereza lazima uwe mtoto wa kishua?! Au lazima uwe na pesa? Huyu wema kakulia nje lugha ya kwanza ilikuwa kiingereza sasa kuna shida gani ukiambiwa ndio lugha ya kawaida kwake yeye haoni tofauti akiongea kiingereza au kiswahili kikubwa kwake ameongea.Watoto wa mabalozi sio familia bora kama unavotaka tuamini, na kukulia nje ya nchi haimaanishi wewe Ni special kuliko wengine wako wengi wa namna Hiyo choka mbaya sijui kwa nini mnakua na notion ya namna Hiyo?
Binamu upoHahaha
Idris kapotezea utadhani tumbo lina muuma ana wahi kwa toilet.
Nimemkubal sana hapo
Mihogo inazeesha [emoji13] [emoji13] [emoji87] [emoji87]Hahaha
Hilo litakuwa janga sasa
Lakin ana zeeka kweli naye japo juz tu alitimiza miaka 27
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kila siku miaka yake inasimama apo apo kwenye 27 haiongezekagi [emoji16]