Video: Idris Sultan amkacha Wema Sepetu kweupee!

Ngoja wachambuzi wa masuala ya mapenzi waje hapa kuichambua hiyo video watakuja waathidhiri wa chuo kikuu cha UDSM!
 
I hate this talking style, nyambafuuu....mzungu si mzungu,si mchina....eti kiswahili hajui vizuri......sauti mbayaaa
kwa kweli inasikitisha, na ndo imekuwa style ya hao so called celebrities wa Tanzania. It just makes me sick.
 
Wema familia bora, mtoto wa balozi huyu amekulia na kukaa nje ya nchi miaka kibao. Kwa hiyo lugha yake ya kwanza sio kiswahili bali Ngeli. So kwa hilo muacheni aneng'eneke na lugha yake ya kuzaliwa.
Kadanganye washamba wenzio Wema kakulia Mitaa ya Meeda tunamuona na miaka ya baba yake kuwa balozi na umri anaosema sidhani kama alikuwepo
 
eeh mbona amekua kama umaga vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…