Video ikimuonesha kijana akifukuzwa kwenye boda baada ya kukwepa kulipa mafuta sheli

Video ikimuonesha kijana akifukuzwa kwenye boda baada ya kukwepa kulipa mafuta sheli

Kwahiyo wewe ukaishia kuchukua tukio, badala ya kufukuzia umkamate akaswekwe lupango!, haya ndio mazara ya wabongo kutegemea kila kitu wafanye polisi na wajeda huku mkiendelea kuminywa.
 
Shetani na Mama mkwe wake watakalia misumari.

😃😃😃😃😃😃
 
Back
Top Bottom