Busu la Kenge JF-Expert Member Joined Jun 13, 2025 Posts 2,583 Reaction score 4,776 Oct 17, 2025 #1 Video hii ikimuonyesha kijana mmoja akiwa yupo kituo cha mafuta baada ya kuwekewa mafuta hakulipa pesa na akatimbua mbio. adriz Your browser is not able to display this video.
Video hii ikimuonyesha kijana mmoja akiwa yupo kituo cha mafuta baada ya kuwekewa mafuta hakulipa pesa na akatimbua mbio. adriz Your browser is not able to display this video.
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Oct 17, 2025 #2 Kwahiyo wewe ukaishia kuchukua tukio, badala ya kufukuzia umkamate akaswekwe lupango!, haya ndio mazara ya wabongo kutegemea kila kitu wafanye polisi na wajeda huku mkiendelea kuminywa.
Kwahiyo wewe ukaishia kuchukua tukio, badala ya kufukuzia umkamate akaswekwe lupango!, haya ndio mazara ya wabongo kutegemea kila kitu wafanye polisi na wajeda huku mkiendelea kuminywa.
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 8,216 Reaction score 21,914 Oct 17, 2025 #3 Sio jambo la kufurahia,,,,ni ugumu wa maisha ! Kuiba sio suluhisho
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,597 Reaction score 29,527 Oct 17, 2025 #4 Busu la Kenge said: Video hii ikimuonyesha kijana mmoja akiwa yupo kituo cha mafuta baada ya kuwekewa mafuta hakulipa pesa na akatimbua mbio. adriz View attachment 3490068 Click to expand... Ya siku mingi sana hiyo
Busu la Kenge said: Video hii ikimuonyesha kijana mmoja akiwa yupo kituo cha mafuta baada ya kuwekewa mafuta hakulipa pesa na akatimbua mbio. adriz View attachment 3490068 Click to expand... Ya siku mingi sana hiyo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Oct 17, 2025 #5 Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 28,865 Reaction score 58,677 Oct 17, 2025 #6 Shetani na Mama mkwe wake watakalia misumari. ππππππ