VIDEO ikionesha mashabiki wawili weusi wakifanyiwa masimango na mashabiki wa Morocco waliowazunguka

Hili kombe lafaa washiriki ngozi NYEUSI tu hili ndio jambo la msingi kwa Dr. Patrice Motsepe
 
Kila siku tunasema mwarabu mzuri ni aliyekufa tu labda pagazi tu ndio anaweza kupinga.
 
Nilikuwa na Jamaa yangu Misri kwenye Pyramids kunakuwa na mabasi mnapanda kuyafuata halafu yanawarudisha sasa wakati wa kurudi jamaa yangu kakaa siti mbele na mimi nyuma. Gari ilivyojaa tukawa mimi na jamaa tu ndio siti zetu hazijakaliwa siti za pembeni yetu ila waarabu wamesimama. Mpaka akaja askari akanifuata kuwa naomba kaa na yule mwenzio ili hawa wakae hapo kwenye hiyo siti.
Nikaona isiwe taabu sababu nipo kwao ngoja nikae na mshkaji wangu. Yaani waliona kukaa na sisi kama minyani sijui.
 
Aiseee pole sana mkuu😔😔
 
Uzuri wa jamaa kwenye ubaguzi hawaangalii we Shalom au Samaleko mwenzao.
 
Siku nyingine uwe unasafiri na upupu. Wakati unaachia hiyo seat ungepaka upupu. Bloody fucken zao hao Waarabu.
 
Duhh 😢😁
 
Mimi nawaambia Senegal anaenda kushinda appeals zote.
Wao wakusanye ushahidi tu.
Ushahidi ni mwingi sana mbona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…