Jamaa mbeleko wanayobebewa ni kali kiasi mpaka wanatambaa chini mbebeji anafanya kuwavuta kuwalazimisha kwenda.BRAHIM DIAZ alafa poa sana kukosa ile panenga penalty aliyopiga.
Kiboko Yao Myahudi
Aiseee pole sana mkuu😔😔Nilikuwa na Jamaa yangu Misri kwenye Pyramids kunakuwa na mabasi mnapanda kuyafuata halafu yanawarudisha sasa wakati wa kurudi jamaa yangu kakaa siti mbele na mimi nyuma. Gari ilivyojaa tukawa mimi na jamaa tu ndio siti zetu hazijakaliwa siti za pembeni yetu ila waarabu wamesimama. Mpaka akaja askari akanifuata kuwa naomba kaa na yule mwenzio ili hawa wakae hapo kwenye hiyo siti.
Nikaona isiwe taabu sababu nipo kwao ngoja nikae na mshkaji wangu. Yaani waliona kukaa na sisi kama minyani sijui.
Uzuri wa jamaa kwenye ubaguzi hawaangalii we Shalom au Samaleko mwenzao.Nilikuwa na Jamaa yangu Misri kwenye Pyramids kunakuwa na mabasi mnapanda kuyafuata halafu yanawarudisha sasa wakati wa kurudi jamaa yangu kakaa siti mbele na mimi nyuma. Gari ilivyojaa tukawa mimi na jamaa tu ndio siti zetu hazijakaliwa siti za pembeni yetu ila waarabu wamesimama. Mpaka akaja askari akanifuata kuwa naomba kaa na yule mwenzio ili hawa wakae hapo kwenye hiyo siti.
Nikaona isiwe taabu sababu nipo kwao ngoja nikae na mshkaji wangu. Yaani waliona kukaa na sisi kama minyani sijui.
Siku nyingine uwe unasafiri na upupu. Wakati unaachia hiyo seat ungepaka upupu. Bloody fucken zao hao Waarabu.Nilikuwa na Jamaa yangu Misri kwenye Pyramids kunakuwa na mabasi mnapanda kuyafuata halafu yanawarudisha sasa wakati wa kurudi jamaa yangu kakaa siti mbele na mimi nyuma. Gari ilivyojaa tukawa mimi na jamaa tu ndio siti zetu hazijakaliwa siti za pembeni yetu ila waarabu wamesimama. Mpaka akaja askari akanifuata kuwa naomba kaa na yule mwenzio ili hawa wakae hapo kwenye hiyo siti.
Nikaona isiwe taabu sababu nipo kwao ngoja nikae na mshkaji wangu. Yaani waliona kukaa na sisi kama minyani sijui.
Duhh 😢😁Nilikuwa na Jamaa yangu Misri kwenye Pyramids kunakuwa na mabasi mnapanda kuyafuata halafu yanawarudisha sasa wakati wa kurudi jamaa yangu kakaa siti mbele na mimi nyuma. Gari ilivyojaa tukawa mimi na jamaa tu ndio siti zetu hazijakaliwa siti za pembeni yetu ila waarabu wamesimama. Mpaka akaja askari akanifuata kuwa naomba kaa na yule mwenzio ili hawa wakae hapo kwenye hiyo siti.
Nikaona isiwe taabu sababu nipo kwao ngoja nikae na mshkaji wangu. Yaani waliona kukaa na sisi kama minyani sijui.