Video iliyomfanya Mange Kimambi amuumbue Wastara alipokuwa akiomba msaada wa Matibabu ya Mguu

Video iliyomfanya Mange Kimambi amuumbue Wastara alipokuwa akiomba msaada wa Matibabu ya Mguu

Huyu mama hapitwi na jambo lolote .
 
Kwani kuna ajabugani mtuakifurahi Leo kesho akaumwa au akifa?mange kimabi huna huruma wala akili tena huna adabu nilazima ujue wastara ni Msanii hatakama anaumwa anahaki ya kufurahi nakuendeleza usanii wake nisawa nawewe mpumbavu kazi yako michambo kwahiyo hataukiumwa utachamba watu ukiwa kitandani ila ujuwe Leo kwake kesho kwako mana hujui hatma yako unaroho mbaya kushinda mavi kwaheri usonahuruma
 
Mange kimambi ndio nani huyu??
Mimi huwa namsikia mwenye kumfaham naomba anijuze tafadhalo
 
Wastara anapeda sana kuonewa huruma sana baada ya miaka mitano ataibuka na lingine atasema wamchangie atajiliza weeeh yule muigizaji kama mlikua amjui kipaji chake[emoji23][emoji23]
 
Mange kazidi hivi hajawahi kuona leo mtu mzima kesho anafariki? Au huyu mzima kesho anazidiwa mpaka kulazwa ICU

Kinachomuuma mange ni pesa hasa za Rais ndo zinamuumiza sana alitaman wastara azidiwe vibaya ili aje aisimange ccm kwa kumtelekeza

Its true wastara anaweza kuwa mpigaji ila kwann mama usipitwe kaumia sana na kutaka kujionesha yupo juu kwa kila kitu. Pesa pesa tatizo yaan hapo angekua na uwezo angeweza kuja kumtishia wastara skendo yeyote ili tu amnyang'anye hizo pesa

Sijawahi kukuona umemsifia Mange we Nyampua binti L. Mlaki. Kuzeekea nyumbani hakujakuacha salama
 
Kwani kuna ajabugani mtuakifurahi Leo kesho akaumwa au akifa?mange kimabi huna huruma wala akili tena huna adabu nilazima ujue wastara ni Msanii hatakama anaumwa anahaki ya kufurahi nakuendeleza usanii wake nisawa nawewe mpumbavu kazi yako michambo kwahiyo hataukiumwa utachamba watu ukiwa kitandani ila ujuwe Leo kwake kesho kwako mana hujui hatma yako unaroho mbaya kushinda mavi kwaheri usonahuruma

Huo mfano wako hata haviendani!!! Toka lini mavi yakawa na roho mbaya!!!!!!!!!!
 
Msaada ukitoka usiujutie ili mradi umetolewa kwa moyo mmoja..kama alidanganya ni yeye na nafsi yake na kama hadanganyi basi iwe hivyo alivyo panga..Tumwacheni mwenyewe na Mungu amsimamie
 
Back
Top Bottom