Video iliyomfanya Mange Kimambi amuumbue Wastara alipokuwa akiomba msaada wa Matibabu ya Mguu

Kwaio haiwezekani leo kuwa mzima kesho yake ukawa mbovu? yaani mtu unahoji eti tarehe 20 alikuwa anakata mauono baada ya wiki moja analia anaumwa kama vile kwamba siku 7 ni kidogo sana mtu kuumwa? wafuasi wa mange bana....
HAMKAI NYUMBANI HATA MKAANGALIA VIPINDI VYA REDIO ASBH MAPEMA UNARUDI SASITA..BIBI ALIOMBA MSAADA ANA MIEZI MIWLI KWENDA WATATU HIO N MWANZON MW AJANUARY KIPINDI KILE KILISIMAMIWA NA BIBIE MMOJA ANAITWA HOYCE ..SASA KAMA AMEUMWA KUANXIA TAR 21 DEC ..MPAKA MWANZO MWA JANURY MIWEZI MIWILI AMA TATU IMEPITA???!

ANYWAY NAONA NA MAKANISAN N MUDA MUAFAKA APITIE HUKO KUPATA UPONYAJI WAPENDWA VITU VINGINE UNAKUTA SIO MAGONJWA YA KAWAIDA KWA MUNGU YANALIPUKA KWANZA NA KUNENA NDIPO YANAONDOKA

USHAURI TU
 
Sasa nimeelewa kumbe ile ilikuwa ni SCENE NYINGINE YA BONGOMOVIE??????????????
 
HAMKAI NYUMBANI HATA MKAANGALIA VIPINDI VYA REDIO ASBH MAPEMA UNARUDI SASITA..BIBI ALIOMBA MSAADA ANA MIEZI MIWLI KWENDA WATATU HIO N MWANZON MW AJANUARY KIPINDI KILE KILISIMAMIWA NA BIBIE MMOJA ANAITWA HOYCE ..SASA KAMA AMEUMWA KUANXIA TAR 21 DEC ..MPAKA MWANZO MWA JANURY MIWEZI MIWILI AMA TATU IMEPITA???!

ANYWAY NAONA NA MAKANISAN N MUDA MUAFAKA APITIE HUKO KUPATA UPONYAJI WAPENDWA VITU VINGINE UNAKUTA SIO MAGONJWA YA KAWAIDA KWA MUNGU YANALIPUKA KWANZA NA KUNENA NDIPO YANAONDOKA

USHAURI TU
Nafikiri mkuu hujasoma vizuri kilichoandikwa. Amesema kuwa tarehe 21 alikuwa akikata mauno anatafuta jasho. Baada ya wiki moja akasema anaumwa. Sasa nikuulize, wiki moja baadae haikutosha yeye kuumwa? au maradhi yana miadi?
 
Sioni shida kwa huyu kukata mauno ni moja ya mazoezi kwa afya yake
 
Wastara ni binadamu na ana hisia. Inawezekana alijitonesha wakati anacheza.Ana haki ya kuomba msaada na waliomsaidia wamefanya jambo jema. Sisi ambao hatukumsaidia tuendelee na mambo yetu kama kawaida yetu.
 
Kwaio haiwezekani leo kuwa mzima kesho yake ukawa mbovu? yaani mtu unahoji eti tarehe 20 alikuwa anakata mauono baada ya wiki moja analia anaumwa kama vile kwamba siku 7 ni kidogo sana mtu kuumwa? wafuasi wa mange bana....
Hata mimi nashangaa, yaan wiki moja yeye anaona ndogo kwa mgonjwa anaendelea vizuri na hali yake kubadilika ghafla na kua mbaya? Kwani ana mkataba na Mungu? Malaya mtukanaji yule..
 
Mange kazidi hivi hajawahi kuona leo mtu mzima kesho anafariki? Au huyu mzima kesho anazidiwa mpaka kulazwa ICU

Kinachomuuma mange ni pesa hasa za Rais ndo zinamuumiza sana alitaman wastara azidiwe vibaya ili aje aisimange ccm kwa kumtelekeza

Its true wastara anaweza kuwa mpigaji ila kwann mama usipitwe kaumia sana na kutaka kujionesha yupo juu kwa kila kitu. Pesa pesa tatizo yaan hapo angekua na uwezo angeweza kuja kumtishia wastara skendo yeyote ili tu amnyang'anye hizo pesa
Pengine amemtishia skendo ila Wastara kakomaa hajampa hata 100, ndo kaamu kuja kujiaibisha humu malaya mtukanaji yule..
 
Wastara ni binadamu na ana hisia. Inawezekana alijitonesha wakati anacheza.Ana haki ya kuomba msaada na waliomsaidia wamefanya jambo jema. Sisi ambao hatukumsaidia tuendelee na mambo yetu kama kawaida yetu.
hili nalo neno
 
Sasa hapo kakata mauno au alikuwa anarusharusha tuuu mikono,mtoa mada unayajua mauno ww?be serious
 
Hata mimi nashangaa, yaan wiki moja yeye anaona ndogo kwa mgonjwa anaendelea vizuri na hali yake kubadilika ghafla na kua mbaya? Kwani ana mkataba na Mungu? Malaya mtukanaji yule..
😀 😀 😀 aisee wafuasi wake wanaponikosha zaidi ni kuwa wanafall kwa kila kitu anachosema. Hawana mizani ya kupima wala kuhoji.
 
Yule ngosha aliyekimbilia kutoa mil.15 hata hakujiuliza hili swali...kweli wasukuma ndo maana zamani walilipishwa hela na watoto wa mjini kwa kuangalia maghorofa dar!
pale morogoro mpka kesho wanalipishwa Pesa kwenda kupnda meli...hahaaa yaani wakifika pale terminal kuu ya mkoa wanaambiwa haya meli hiyo hapo..lipia pesa uende zanzibar
 
HAhaha, ndo na huyu "Kiongozi" wao ananunua madege ya mapangaboi, yeye akijua ndo Boeing!
 
Kwaio haiwezekani leo kuwa mzima kesho yake ukawa mbovu? yaani mtu unahoji eti tarehe 20 alikuwa anakata mauono baada ya wiki moja analia anaumwa kama vile kwamba siku 7 ni kidogo sana mtu kuumwa? wafuasi wa mange bana....
Wastara bana....
 
Tatizo aliyeandika hii ni mjinga kuliko Wastara mwenyewe....so taarifa ni bulshit kabisa
 
Back
Top Bottom