Video: Imevuja! Wanasayansi Wakizungu wanaswa wakifanya michakato ya kuja kufanya majaribio ya chanjo ya Corona Afrika kwa kisingizio cha utafiti!

Umenena vyema mno! Jinga sana hilo jamaa, lingekuwa karibu ningeshalipiga shaba, jinga sana!
 
Unaona
 
Aiseeee !!
 
Mpumbavu ni wewe na wote mnaoshobokea ujamaa na kujitegemea huku mkiukana huo ujamaa na kujitegemea na kwenda kuomba msaada kwa mabeberu yaani wajinga kabisa, ana heri TL anayewapa shida CCM mtanyooka TL hajafa kunguni wewe
 
Kwa hali hii upumbafu wako ni mzigo wako wa maisha, sina muda wa kupoteza kumuelimisha mpumbafu, naweza mfundisha mjinga sio mpumbafu! Pitiful fella!
 
WHO (World Health Organization) nao pia wamelikemea hili suala, na wamesema hawako tayari Nchi yoyote ya Afrika ije kufanyiwa majaribio ya chanjo hiyo.

Na wamesisitiza kwa kusema hili ni suala la kibaguzi la hali ya juu
 
Update: 09/04/20
Wakongo watishia kumuua Jean- Jacques Muyembe kwa tuhuma za usaliti wa kuruhusu chanjo ya Corona nchini Kongo, aomba msamaha kwenye TV ya taifa kwa kuogopa kuuwawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…