M
WW kambi ya Fisi, Mtazamo wako ni duni sana, zaidi ya hafifu! Hivi unapomuita kibarua akulimie shamba ukamlipa, baadae ukamwita akupandie na mbegu kisha apalilie atie mbolea na ayavune mazao na kuyaweka gharani kwa malipo! Utakapo kuwa unakula chakula hicho utasema ni cha huyo kibarua au chako mwenyewe!?
Sasa huyo kibarua ndio huyo mzungu wako kwa taarifa yako! Sisi ndio mabosi wao tunaonunua huduma! Hatupewi bali tunanunua! Wanatengeza magari vitu vyote uvijuavyo na usivyovijua na sisi tunavinunua...tukishanunua hivyo sio vyao tena ni vyetu! Baada ya kusema haya, kati yangu na ww nani ni fala, mbulula, mataga nk! Obvious kama ww upo kwenye kiwango cha wapumbafu hata haya hutayaelewa.. What a pitiful individual!
Kuhusu kuhusika kwa Tundu Lisu ktk kujikomba na kutetemekea wazungu, ni wazi kama kiwango chako ni cha wapumbafu huwezi ona wa kujua! Kwani makelele yote anayopiga na kubwabwajs huko ubelgiji, ujerumani, uingereza, Marekani nk anataka weusi wamsikie anavtoiabisha serikali yetu na nchi yetu! Bi akili zake za kitumwa kama zako ndizozilizomuongoza kwenda na kufanya hayo yote kwa kuwatetemekea mabeberu akitarajia kwa upumbafu kuwa wazungu wanamjali kama binadamu wakati kiukweli wanamuona kuwa ni panya wa majaribio (guinea pig) amewafuata na kubwabwaja kwa njaanjaa zake, hakuna hata mmoja anaangalia (interest zaTL) ktk hso mabwana zake, wao wanaangalia jinsi ya kujinufaisha wenyewe kwa kumtumia mpumbafu kama huyo TL!
Unajua wewe ni mmoja wao waliofanya siasa za ujamaa na kujitegemea zikafeli, mifano yote uliyotumia kuniaminisha kuwa CCM hawainami kwa mabeberu ni ya kisenge sana panya buku wewe
Haya kamuulize mzee wa kiduku kule North Korea wasiowategemea mabeberu wapoje, jifunze kwa huyo mzee wa kiduku then mtazame JPM kama anao ubavu wa kuwatisha mabeberu wkt yeye ni panzi tu kwa hayo mabeberu kunguni wewe,
Kuhusu TL mtaendelea kikodoa mimacho huyo jamaa ni sumu mbaya pale Lumumba st mmempiga shaba hajafa na hatakufa kwa mapenzi yenu nyan'gau nyie