Video: Imevuja! Wanasayansi Wakizungu wanaswa wakifanya michakato ya kuja kufanya majaribio ya chanjo ya Corona Afrika kwa kisingizio cha utafiti!

Video: Imevuja! Wanasayansi Wakizungu wanaswa wakifanya michakato ya kuja kufanya majaribio ya chanjo ya Corona Afrika kwa kisingizio cha utafiti!

Ninachoamini Mimi....

Africa tuna mawazo ya kitumwa,na utumwa ushaungia katika damu kwakua babu zetu walikuw watumwa

Africans karibia wote in tegemezi isipokua muammar Gaddafi,

Halafu Africans katibia wote hata hao wanaojiita wasomi washaweka notion kwamba mattz yao kuna mtu alipaswa kuyatatua sio wao...mfano utakuta MTU analaumu system za uongoz Wa nchi kwa uongoz mbovu,system za elimu mbovu,afya nk....swali je we km we umechukua hatua gani katika kubadilisha hali hizo?????


Kingine Africa tukatae tukubali IQ zetu ni ndogo mno hata za panya in kibwa kuliko sisi,kuna watu nawaona wanakosoa,wengine wanawasifia wazungu,...ila solution IPO hapa(sisi waafrica tufe wote kiletwe kizazi kingine sisi km sisi hatujiwezi, tuna maradhi mengi ya kiakili)

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kabisha juu ya hayo yote uliyoyasema? Ila je, hiyo ndio hoja katika uzi huu?
 
swali je we km we umechukua hatua gani katika kubadilisha hali hizo
Swali zuri sana ndio maana vijana wengi tuko opposition ili tuving'oe hivi vyama tawala (ccm)ambavyo vimejisahau katika madaraka na kushindwa kutuletea maendeleo
 
Acha ufala mkuu Tundu Lissu kaingiaje hapa? Hivi hujui kuwa JPM anamilikiwa na mabeberu?

Bastora yake imetengenezwa na mabeberu

Msafara wake ni magari ya mabeberu fala wewe!

Nyumba anayoishi pale magogoni ilijengwa na mabeberu fala wewe!
Yaani karibu kila kitu anachotumia ni made in mabeberu, jaribu kuwaza kiume kabla hujamtaja TL kuwa anatumiwa na mabeberu kuliko JPM fala wewe
Haya ninyi ambao kila kukicha mnatetemekea wazungu na mitazamo yenu ya kitumwa mkiongozwa Tundi Lisu, Zito na Mbowe, mmesikia mabwana zenu wanavyowawazia eeh!
Wazungu hawajawahi kutuchukulia sisi weusi kama binadamu wenzao...na kwa bahati mbaya weusi wenzentu wenye mitazamo ya kitumwa ndio wamekuwa wakitusaliti na kutuletea matatizo yote!
 
Sasa mnataka wenzenu watumie rasilimali zao kuandaa chanjo nyue africa mmekaa tu kama hamjui kinachoendelea alafu kesho mje kuanza kuombaomba io chanjo mkishaanza kufa kama kuku. Kama wanasayansi wenu waneshindwa kufanya chochote kuna shida gani kwenye hili janga mchango wenu ukwa ni kufanya samples??
Beggers can never be choosers


Sent using Jamii Forums mobile app
Kusema cha ukweli nimecheka sana Unaposema kama yana kaukweli Kwa mbaliiiiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M
Acha ufala mkuu Tundu Lissu kaingiaje hapa? Hivi hujui kuwa JPM anamilikiwa na mabeberu?

Bastora yake imetengenezwa na mabeberu

Msafara wake ni magari ya mabeberu fala wewe!

Nyumba anayoishi pale magogoni ilijengwa na mabeberu fala wewe!
Yaani karibu kila kitu anachotumia ni made in mabeberu, jaribu kuwaza kiume kabla hujamtaja TL kuwa anatumiwa na mabeberu kuliko JPM fala wewe
WW kambi ya Fisi, Mtazamo wako ni duni sana, zaidi ya hafifu! Hivi unapomuita kibarua akulimie shamba ukamlipa, baadae ukamwita akupandie na mbegu kisha apalilie atie mbolea na ayavune mazao na kuyaweka gharani kwa malipo! Utakapo kuwa unakula chakula hicho utasema ni cha huyo kibarua au chako mwenyewe!?
Sasa huyo kibarua ndio huyo mzungu wako kwa taarifa yako! Sisi ndio mabosi wao tunaonunua huduma! Hatupewi bali tunanunua! Wanatengeza magari vitu vyote uvijuavyo na usivyovijua na sisi tunavinunua...tukishanunua hivyo sio vyao tena ni vyetu! Baada ya kusema haya, kati yangu na ww nani ni fala, mbulula, mataga nk! Obvious kama ww upo kwenye kiwango cha wapumbafu hata haya hutayaelewa.. What a pitiful individual!
Kuhusu kuhusika kwa Tundu Lisu ktk kujikomba na kutetemekea wazungu, ni wazi kama kiwango chako ni cha wapumbafu huwezi ona wa kujua! Kwani makelele yote anayopiga na kubwabwaja huko ubelgiji, ujerumani, uingereza, Marekani nk anataka weusi wamsikie anavyoiabisha serikali yetu na nchi yetu! Ni akili zake za kitumwa kama zako ndizozilizomuongoza kwenda na kufanya hayo yote kwa kuwatetemekea mabeberu akitarajia kwa upumbafu kuwa wazungu wanamjali kama binadamu wakati kiukweli wanamuona kuwa ni panya wa majaribio (guinea pig) amewafuata na kubwabwaja kwa njaanjaa zake, hakuna hata mmoja anaangalia (interest zaTL) ktk hao mabwana zake, wao wanaangalia jinsi ya kujinufaisha wenyewe kwa kumtumia mpumbafu kama huyo TL!
 
Back
Top Bottom