Video inaonyesha ving'ora viliposikika Tel Aviv na uwanja wa ndege wa Ben Gurion Waisrael wakikimbia makombora ya Yemen

Video inaonyesha ving'ora viliposikika Tel Aviv na uwanja wa ndege wa Ben Gurion Waisrael wakikimbia makombora ya Yemen

Kusikia kwenu ni zaidi ya kule kwa kenge, hata damu ziwatoke vipi masikioni, puani na mdomoni bado hamuwezi sikia
Kusikia wapi mzee tatizo nyinyi nanyi amtaki kwenda na wkt na mnajua Israel anasaidiwa na mataifa kibao ndio mana unaona ugum kwa wapalestina kushinda lkn Yemen tunaona wanavo peleka moto na ila nyie amuoni kitu sababu za kuzuiya vyombo ha Habari lkn zayuni yupo hoi pamoja na misaada yote lkn katepeta sana.
 
Israel inapigwa seem muimu muim tu si vile awezi zuiya missile ya myemen kwaiyo watu wanachagua leo tupige nini marekani anaona aibu tu kurusha taulo ulingoni lkn wanajua Iran kawaweza na akuna cha Tramp wala nani ukishakuwa na technology ww mkubwa sana. Mkumbuke vita ni technology sio kumiliki Watu wengi au mivifaa vingi lkn ndani yake ayana Akili ya kutumwa na kufika au ayana Akil y kumchenga beki IRAN SUPER POWERFUL wa kweli alisema akuna shetani mwenye uwezo wakuwashambulia zayuni kujaribu kashindwa kwa aibu ajajalibu tena kuchezea Anga la Iran badala yake yeye anapigwa tu na Iran kutokea Yemen ana cha kufanya. Ardhi wanaitaka lkn moto wake sio poa.
 
Kwa hiyo hao watu kukimbia kwenu ndo semblance ya ushindi?

Grasping at straws on every turn 🤣.

Mlichokuwa mnakitafuta, mmekipata.

Hakutakuwa tena na mashambulizi kama lile la Octoba 7.

Mtaishia kuleta rabsha rabsha tu za kurusha mawe hapa na pale halafu mnajitangazia ushindi.

Lakini kamwe hamtathubutu tena kufanya mashambulizi ndani ya Israel.

Happy 2025 🤣🤣🤣.
Hawa watu ni psychopath usibishane nao imagine watu wanashangia ving'ora wakiulizwa hizo hypersonic missile zilizo piga airport ziko wapi hawajui

Kitu nimependa kwa Israel ametoa kichapo cha karne hasikiii cha UN wala nani kipigo cha mbwa koko (in Afande Muruto voice)kinatembezwa hii ni kwa ajili ya kizazi kinacho kuja wasithubu kucheza na wale vichaa tena
 
JF kuna vituko huyu Muisrael mweusi ya Gairo hataki habari za Israel ziandikwe JFšŸ˜‚

Umewekewa na chanzo Al Jazera bado hutaki wewe punguani kweli wewe.
Aljazeera si ndie nyie wa Mungu jiwe wenu kaaba
 
Israel inapigwa seem muimu muim tu si vile awezi zuiya missile ya myemen
Umelewa chang'aa au mataputapu au upo msikitini kwa babu yenu Allah mkubwa wa uongo
kwaiyo watu wanachagua leo tupige nini marekani anaona aibu tu kurusha taulo ulingoni lkn wanajua Iran kawaweza na akuna cha Tramp wala nani ukishakuwa na technology ww mkubwa sana. Mkumbuke vita ni technology sio kumiliki Watu wengi au mivifaa vingi lkn ndani yake ayana Akili ya kutumwa na kufika au ayana Akil y kumchenga beki IRAN SUPER POWERFUL wa kweli alisema akuna shetani mwenye uwezo wakuwashambulia zayuni kujaribu kashindwa kwa aibu ajajalibu tena kuchezea Anga la Iran badala yake yeye anapigwa tu na Iran kutokea Yemen ana cha kufanya. Ardhi wanaitaka lkn moto wake sio poa.
Katafute sehemu wanapouza akili uweke kwenye ubongo wako..
 
Wanaukimbi.

Video inaonyesha ving'ora viliposikika Tel Aviv na uwanja wa ndege wa Ben Gurion huku Wahouthi wakirusha makombora dhidi ya Israel kutoka Yemen. Kundi linalojihami na Iran linasema mashambulizi yao yanapinga mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza.
===============
Video shows the moment sirens ring in Tel Aviv and Ben Gurion airport as Houthis launch missiles at Israel from Yemen. The Iran-aligned armed group says their attacks are in opposition to Israel’s genocide in Gaza.

View: https://x.com/ajenglish/status/1874112062483554525?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

May the New Year bring you prosperity and joy.
We are excited about what 2025 holds for us and we are grateful to have you by our side.
Happy New Year šŸ‡ŗšŸ‡øšŸ‡®šŸ‡±šŸ‡¹šŸ‡æ
 
Yahya Saree, msemaji wa Jeshi la Yemen alisema:

"Gaza ni mstari mwekundu kwetu. Ikiwa uchokozi utaendelea dhidi yake, tutapiga shabaha ambazo maadui hawawezi kufikiria, hawajafikiria, na hata Wayemen wenyewe hawatarajii.
 
Nimependa Sana haka kautaratibu ka waYemen kila siku ni ballistic Moja usiku wa manane lazima watu wapigiwe vingora watoke nje.
 
Back
Top Bottom