Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Takbiiiiiiir š¤£.Wewe ndiye umesema nyinyi ving'ora mnaona ushindi,unaongea na wapalestina wewe ukiwa muisrael!?..au ndiyo dumbass mwenyewe usiyejijua?..bichwa kubwa akili huna!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Takbiiiiiiir š¤£.Wewe ndiye umesema nyinyi ving'ora mnaona ushindi,unaongea na wapalestina wewe ukiwa muisrael!?..au ndiyo dumbass mwenyewe usiyejijua?..bichwa kubwa akili huna!
Kusikia wapi mzee tatizo nyinyi nanyi amtaki kwenda na wkt na mnajua Israel anasaidiwa na mataifa kibao ndio mana unaona ugum kwa wapalestina kushinda lkn Yemen tunaona wanavo peleka moto na ila nyie amuoni kitu sababu za kuzuiya vyombo ha Habari lkn zayuni yupo hoi pamoja na misaada yote lkn katepeta sana.Kusikia kwenu ni zaidi ya kule kwa kenge, hata damu ziwatoke vipi masikioni, puani na mdomoni bado hamuwezi sikia
Hawa watu ni psychopath usibishane nao imagine watu wanashangia ving'ora wakiulizwa hizo hypersonic missile zilizo piga airport ziko wapi hawajuiKwa hiyo hao watu kukimbia kwenu ndo semblance ya ushindi?
Grasping at straws on every turn š¤£.
Mlichokuwa mnakitafuta, mmekipata.
Hakutakuwa tena na mashambulizi kama lile la Octoba 7.
Mtaishia kuleta rabsha rabsha tu za kurusha mawe hapa na pale halafu mnajitangazia ushindi.
Lakini kamwe hamtathubutu tena kufanya mashambulizi ndani ya Israel.
Happy 2025 š¤£š¤£š¤£.
Aljazeera si ndie nyie wa Mungu jiwe wenu kaabaJF kuna vituko huyu Muisrael mweusi ya Gairo hataki habari za Israel ziandikwe JFš
Umewekewa na chanzo Al Jazera bado hutaki wewe punguani kweli wewe.
Umelewa chang'aa au mataputapu au upo msikitini kwa babu yenu Allah mkubwa wa uongoIsrael inapigwa seem muimu muim tu si vile awezi zuiya missile ya myemen
Katafute sehemu wanapouza akili uweke kwenye ubongo wako..kwaiyo watu wanachagua leo tupige nini marekani anaona aibu tu kurusha taulo ulingoni lkn wanajua Iran kawaweza na akuna cha Tramp wala nani ukishakuwa na technology ww mkubwa sana. Mkumbuke vita ni technology sio kumiliki Watu wengi au mivifaa vingi lkn ndani yake ayana Akili ya kutumwa na kufika au ayana Akil y kumchenga beki IRAN SUPER POWERFUL wa kweli alisema akuna shetani mwenye uwezo wakuwashambulia zayuni kujaribu kashindwa kwa aibu ajajalibu tena kuchezea Anga la Iran badala yake yeye anapigwa tu na Iran kutokea Yemen ana cha kufanya. Ardhi wanaitaka lkn moto wake sio poa.
Wanaukimbi.
Video inaonyesha ving'ora viliposikika Tel Aviv na uwanja wa ndege wa Ben Gurion huku Wahouthi wakirusha makombora dhidi ya Israel kutoka Yemen. Kundi linalojihami na Iran linasema mashambulizi yao yanapinga mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza.
===============
Video shows the moment sirens ring in Tel Aviv and Ben Gurion airport as Houthis launch missiles at Israel from Yemen. The Iran-aligned armed group says their attacks are in opposition to Israelās genocide in Gaza.
View: https://x.com/ajenglish/status/1874112062483554525?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
May the New Year bring you prosperity and joy.
We are excited about what 2025 holds for us and we are grateful to have you by our side.
Happy New Year šŗšøš®š±š¹šæ
Hizo missile mbona hawazielekezi kwa Ben