bombei_safaya
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 311
- 286
Na aliyokataliwaMayele mwenye magoli 12 ndiyo hatari wa kulinganisha na peter shalulile wa the sundowns? Mayele level zake akina george mpole. Kwa dakika alizocheza kama angekuwa hatari alipaswa kuwa na goli 20+
hata kibu denis isingekuwa majeruhi hizo goli angekuwa nazo.