Video inayotrend Instagram ikimuonyesha malaika anapaa kwenye mawingu ni ya kweli?

Video inayotrend Instagram ikimuonyesha malaika anapaa kwenye mawingu ni ya kweli?

Kuna video iko insta kwenye reels ikimuonyesha live malaika mweupe anatoka wingu moja kwenda jingine angani huku watu chini wakipiga mayowe je ni video ya kweli? Inatisha
Yawezekana ikawa kweli ila technolojia nayo imetutangulia sana mkuu piga moyo konde acha dhambi malaika wapo mwombe Mungu atakuonyesha
 
Tuanzie hapa kwanza vip ushawah muona malaika
 
Back
Top Bottom