Video inayotrend Instagram ikimuonyesha malaika anapaa kwenye mawingu ni ya kweli?

Video inayotrend Instagram ikimuonyesha malaika anapaa kwenye mawingu ni ya kweli?

Kama kwenye muvi mtu anaonekana anakatwa kichwa kinadondokea huko na kiwiliwili kinadondokea kule na mtazamaji Ukaona hivyo kana kwamba ni kweli kumbe ni kitu cha kutengeneza.Je watu hao watashindwa kutengeneza kitu kama hicho kinachopaa.Mleta mada,simu yako,vidole vyako,bundle lako na kichwa chako vimeshiriki kukutia aibu humu jf
 
Ina maana yake, nimeielewa ila kwa wale wategemea miujiza badala ya kufanya kazi kwa bidii/Malengo wataishia kupigwa hela/sadaka Kama kawaida
 
Kuna video iko insta kwenye reels ikimuonyesha live malaika mweupe anatoka wingu moja kwenda jingine angani huku watu chini wakipiga mayowe je ni video ya kweli? Inatisha
Nani alimuona malaika ni mweupe tuanzie hapo kwanza.
 
Kenge wewe huoni kabisa hiyo ni edit..? Kuwa na vichwa Kama hivi ndio maana kila siku tunatozwa tozo..
Pamoja na yote, unaelewa kwamba Malaika ni halisia kama wewe ulivyo halisi?
 
Shetani yupo kazini... Upotoshaji mtupu
Kuna video iko insta kwenye reels ikimuonyesha live malaika mweupe anatoka wingu moja kwenda jingine angani huku watu chini wakipiga mayowe je ni video ya kweli? Inatisha
 
Pamoja na yote, unaelewa kwamba Malaika ni halisia kama wewe ulivyo halisi?
Hata kama kwani wananilipia tozo..?
Nafaidika na nini nao..?
Sioni effect yao mimi namaisha yangu nahangaika na yangu wao nawenyewe Kama wapo wahangaike na yao
 
Kwa kuwa umeuliza swali, basi sisi hatuna majibu ya swali lako...
 
Hata kama kwani wananilipia tozo..?
Nafaidika na nini nao..?
Sioni effect yao mimi namaisha yangu nahangaika na yangu wao nawenyewe Kama wapo wahangaike na yao
Pole sana!. I wish ungejua, umuhimu wao kwako!,. usingesema hayo uliyoyasema.
 
Pole sana!. I wish ungejua, umuhimu wao kwako!,. usingesema hayo uliyoyasema.
Mkuu hebu tusibishane bure watu tuna financial crisis we unakuja kusema malaika hapa! 😬😬😬
Watasaidia nini mimi..? Nimepitia mangapi na hawajasaidia!! No effect yao sioni hata nikiachwa nalia mwenyewe hawajagi hata kunisaidia kulia..🤣
 
Hawa manabii fake ni washenzi sana.
Ndio waasisi wa upuuzi kama huu.
Malaika ni invisible, spirit, air.
Sasa ni kamera ya aina gani inaweza kuchukua picha ya kitu invisible?
 
Kuna video iko insta kwenye reels ikimuonyesha live malaika mweupe anatoka wingu moja kwenda jingine angani huku watu chini wakipiga mayowe je ni video ya kweli? Inatisha
Tangu lini instagram ikaanza kutoa ukweli huo.
Yaani instagram iidhidi JF kwa ukweli si tungeona hapa mshana kaweka kama ni kweli.
 
Back
Top Bottom