Video inayotrend Instagram ikimuonyesha malaika anapaa kwenye mawingu ni ya kweli?

Video inayotrend Instagram ikimuonyesha malaika anapaa kwenye mawingu ni ya kweli?

Hamna hatari ila malaika bado anakimbia, huyu angitwa juzi pale salenda angekuja kweli?
 
Kuna video iko insta kwenye reels ikimuonyesha live malaika mweupe anatoka wingu moja kwenda jingine angani huku watu chini wakipiga mayowe je ni video ya kweli? Inatisha
Huna haja ya kuogopa mkuu,fanya toba umrudie Mungu wako...
 
Nawaambia Kama Yesu akija zama hizi na mawingu kama hekaya za wayahudi zinavyodai hakika atajuta maana binadamu wa siku hizi wabishi Sana Aisee anaweza kutunguliwa na madrone ya kufa mtu maana watalibani hawaaminiki!
 
Mkuu hebu tusibishane bure watu tuna financial crisis we unakuja kusema malaika hapa! 😬😬😬
Watasaidia nini mimi..? Nimepitia mangapi na hawajasaidia!! No effect yao sioni hata nikiachwa nalia mwenyewe hawajagi hata kunisaidia kulia..🤣
Pengine ni kwasababu yao ndiyo sababu matatizo uliyokutana nayo hayakukuondolea uhai. Jipe moyo kiongozi. Mungu ananamna nyingi za kumsaidia mtu, ial mara nyingi sana hatufahamu. Malaika wapo na kazi zao zipo, vivyo hivyo na sisi tupo, na mambo yetu yapo. Mungu akupe week end tulivu.
 
Hizo story za makafiri waache wafarijiane,au huoni picha za anaesemekana kuwa ni yesu zigipigwa mabusu kemkem kifupi ujinga mzigo.
 
Mkuu kichwa chako unakotumia kama dispenser ya mate au kabati la meno?
Ukifikiria tu unaona hio sio kweli
 
Back
Top Bottom