Video: Jamaa kamfumania mpenzi wake na kaambiwa hapendwi

Video: Jamaa kamfumania mpenzi wake na kaambiwa hapendwi

Umenikumbusha kituko cha Jamaa mmoja mwanamke alitoroka kwake mwamba akaenda kumtafuta alivyompata mwanamke akamjibu kuwa hamtaki aendelee na maisha yake

Jamaa akaenda kushtaki polisi akasema wakamsaidie ye anachotaka ni kuondoka na mke wake, polisi nao wakaona anazingua wakamtia vitasa
 
Hapa ndipo Wanawake wanapoweka mtego wao.

Ukiona Mwanamke umemfuma alafu amekuambia "SIKUPENDI".

Wewe Jua, anataka kukudhoofisha akili ,uumiee, ili ubaki unajiona wee sio mkamilifu ,in turn ikulazimu weee Uanze kujibembelezesha Kwa mwanamke, ukihisi utabadilika ili umfae huyo mwanamke na hili subconsciously linakufanya wee mwanaume uzidi kua mtumwa.

UKIMFUMA MWANAMKE, LAIVU AU KWENYE SIMU....

Moja ya mbinu za Kummaliza Moja Kwa Moja ni USIMPE NAFASI YA MAJIBIZANO.
 
Ina uma hiyo wewe isikie tuu kwa mwingine.
Umeona Sasa?? Hii ndio Wanawake huitafuta, yaan anajipaka upofu wa maumivu kupitia Mbinu ya Kusambaza maumivu.

Kwa mbinu hii, WANAUME WASHENZI WAJINGA, WAMEWASAMEHE MADEMU ZAO ,TENA WAKIWAAHIDI , NINAKUAHIDI NITAKUFURAHISHA MWANAMKE WANGU
 
Umenikumbusha kituko cha Jamaa mmoja mwanamke alitoroka kwake mwamba akaenda kumtafuta alivyompata mwanamke akamjibu kuwa hamtaki aendelee na maisha yake

Jamaa akaenda kushtaki polisi akasema wakamsaidie ye anachotaka ni kuondoka na mke wake, polisi nao wakaona anazingua wakamtia vitasa
Duh double impact 🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha brother angu alikuwa anakula manzi mmoja hivi kunasiku bro kaenda kwa manzi kapikiwa kakaa anakula kama kwake ghafra mwenyew manzi kaingia anamkuta bro ndani [emoji23][emoji23] bro njaa yote ikakata akasema leo nimekwishaaa mimi Daah sema manzi ikabidi avae roho ya ujasir ikabidi asimame na kumwambia mwambaake kuwa hampendi na hamuitaji tena so aondoke tu
Sema bro alikuja kumuoa yule manzi mbaka leo ndo mkewake wana watoto wawili saivi
 
Back
Top Bottom