Video: Jamaa kamfumania mpenzi wake na kaambiwa hapendwi

😁😁😁
 
[emoji16][emoji16]
 
Kuna mtego ukiingia mwanamke asipokulinda hakika umekwisha na ikibidi marinda yanaondoka
 
Bro wako ameoa malaya
 
[emoji16][emoji16]
Siri namba Moja.

1-Demu mchukulie kama mwanaume mwenzako tu..
Ivo ukimtongoza, hakikisha umemfanya kipaumbele namba 7 yaaan awe kama sio kitu Cha msingi kwako.( Mpaka awe anajiuliza, upo serious kweli au unataka kupita tu).

Hii maana yake ni kwamba, Unapenda nusunusu kama alivyosema Mama Samia.
 
Kila kitu unatakiwa ufanye kwa mipaka hakuna haja ya kumjibu mwanamke shit au kumuonyesha kuwa hujali chochote kuhusu yeye mara akute condom zilizotumia hiyo siyo sawa wakati mwanzo ulimtongoza wewe au hata kama alianza yeye .

Kama huyo mwanamke katulia anakuheshimu alafu unamfanyia hivyo hiyo siyo sawa kabisa, ni laana mzee , machozi ya mwanmke /mwanaume kwenye mahusiano huwa yanaacha laana siyo utani

Mi binafsi pia huwa siwezi kubembeleza yani mi ndo niwe mtumwa wa mapenzi hiyo kitu siwezi naweka effort 50% hiyo 50 nyingine namuachie yeye , akiamua kuniona fala akaweka 15% hilo penzi linakufa kimasihara
 
Hili la Kondomu, Kuna huyu Mmoja ana mimba yangu, daah Huwa saingine rohoo ya huruma inaniingia nabaki kumuonea huruma.

Sema ndo Ivo inatokea tu.m..utasikia"" G jamaan usinifanyie hivoooo " 😓

Hamnaa , pengine nayeye ananitafutia siku aniumizee.

MADEMU wa siku hizi ni MAGAIDI.


WATU MNATAKIWA KUFAHAM KUA, HIKI KIZAZI NI KIZAZI CHA NYOKA.
 
2- Hakikisheni Uchumi umetulia , sio lazima utulie Kwa kiwango Cha Akina Ridhiwani , ila tu utulie,, alafu hapohapo UHAKIKISHE HUMPATI MWANAMKE KWA KUHONGA YAAN UTUMIE PESA YAKO KUMVUTIA.
 
Una swaga za mwamba mmoja , yeye anajiita dating coach , nakubali sana mkuu , vijana wengi hawayajui haya ,wao wanafikiri kulegeza sauti na kupembeleza ndio umwamba.
 
Ajiandae kufanyiwa the same thing baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…