Inategemea na aina ya kinoteHuyu hastahili kuwa kiongozi. Mbona kuletewa ki note wakati unazungumza ni jambo la kawaida sana? Wanaletewa vi note hati kina Bidden, Trump na Obama? sembuse yeye? Yeye nani?
Duh sijui nini kilitokea. Ukweli uongozi ni jalala lazima uvumilivu na busara.View attachment 2721390
Imbainikuwa kuwa chanzo cha Rais Samia kutengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji ni kitendo cha kuonesha kiburi, dharau na kutoa lugha za kejeli kwa mfanyakazi wa Wizara hiyo aliyeenda kwenye Podium wakati akiwa anazungumza na kumpa 'Kinote'.
Jambo hilo lilionekana kumkasirisha Katibu Mkuu Nadhifa Kemikimba na akaamua kukatisha hatuba yake na kwenda kukaa.
Muda mfupi baadaye Waziri wa Maji alisogea kwenye Podium na kumuomba radhi Katibu Mkuu.
🤣😂🤣🤔. Aisee mimi sijui.🤣🤣🤣🤣🤣
Kujimwambafy ni usengeh sana.
Sasa hyo ilikua shida kubwa hadi kususa??
Wanawake ni mama zetu, lkn baadh yao hua wakuda.. kama huyo hapo.
Swali la kizush, hua wakitenguliwa wanapelekwa wapi?
Kwa chama changu ccm hapana sie hatuna hayo ya akina Trump na wenzake sie kiongozi ni kijimungu mtu hivyo akikaa kwenye podiam ni mfalme mwenye kuogofya sana amekaa inabudu aabudiwe atukuzwe kwa zidumu fikra za....n.kHuyu hastahili kuwa kiongozi. Mbona kuletewa ki note wakati unazungumza ni jambo la kawaida sana? Wanaletewa vi note hati kina Bidden, Trump na Obama? sembuse yeye? Yeye nani?
Hana hekima za kuongoza.Huyu hastahili kuwa kiongozi. Mbona kuletewa ki note wakati unazungumza ni jambo la kawaida sana? Wanaletewa vi note hati kina Bidden, Trump na Obama? sembuse yeye? Yeye nani?
Kama alikuwa ni mtumishi atarejeshwa katika nafasi ya juu ya muundo wa kada yake. Anakuwa Afisa Mkuu Daraja la I. Anaendelea kutumwa na kuagizwa kazi na mkuu wake wa idara au kitengo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kujimwambafy ni usengeh sana.
Sasa hyo ilikua shida kubwa hadi kususa??
Wanawake ni mama zetu, lkn baadh yao hua wakuda.. kama huyo hapo.
Swali la kizush, hua wakitenguliwa wanapelekwa wapi?
Huenda ana tatizo la "inferiority complex".View attachment 2721390
Imbainikuwa kuwa chanzo cha Rais Samia kutengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji ni kitendo cha kuonesha kiburi, dharau na kutoa lugha za kejeli kwa mfanyakazi wa Wizara hiyo aliyeenda kwenye Podium wakati akiwa anazungumza na kumpa 'Kinote'.
Jambo hilo lilionekana kumkasirisha Katibu Mkuu Nadhifa Kemikimba na akaamua kukatisha hatuba yake na kwenda kukaa.
Muda mfupi baadaye Waziri wa Maji alisogea kwenye Podium na kumuomba radhi Katibu Mkuu.
Hafai hata kulumangia..... 🙂Huyu hafai hata kuwa mke wa mwanaume. Anajeuri sana