Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

Sasa kama kuna kitu muhimu anakumbushwa ye anapanic tu usikute ni Kwa usalama wake ye anakimbilia kuitupa mi naona anajitunisha tu!
Usalama gani..acheni visingizio, usalama wake watu wametulia kumsikiliza, ok baya likimtokea akiwa hapo muache abebe hiyo gharama ya kutotaka kusumbuliwa na vimemo ndio atajifunza..ni utamaduni mbovu, kuna mambo yamezoeleka kufanyika lakini hayafai!
 
Kwani kimemo maana yake ongea hiki? Unaweza ukawa unaambiwa nguo yako haijakaa vizuri au unakuwa updated juu ya jambo ulilolisema
Kabisa Kwa mfano Rais akiingia chaka wasaidizi wake lazima wapeleke memo chap ili akiwa anaendelea kuongea afafanue vizuri. Lengo ni Rais au kiongozi asiende kuwa a laughingstock huko nje...mifano ni mingi sana hii ya kusema ufe na makosa yako sio dhama nzuri ya utendaji wa pamoja.

Ndo yale ya kusema Sadam Hussein ni Rais wa Libya!
 
Usalama gani..acheni visingizio, usalama wake watu wametulia kumsikiliza, ok baya likimtokea akiwa hapo muache abebe hiyo gharama ya kutotaka kusumbuliwa na vimemo ndio atajifunza..ni utamaduni mbovu, kuna mambo yamezoeleka kufanyika lakini hayafai!
Huo ni ubinafsi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kujimwambafy ni usengeh sana.
Sasa hyo ilikua shida kubwa hadi kususa??
Wanawake ni mama zetu, lkn baadh yao hua wakuda.. kama huyo hapo.
Swali la kizush, hua wakitenguliwa wanapelekwa wapi?
Tena kwenye taasisi za kijeshi huko ndiyo kwenyewe sina hamu.
 
Back
Top Bottom