Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
nadhani hana mume. kama yupo atakuwa anakula "mabanzi" daily. sifa ya kwanza ya mwanamke ni unyenyekevu (submission)Sipati picha anaishije na mume wake nyumbani
Yesu ni Masihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nadhani hana mume. kama yupo atakuwa anakula "mabanzi" daily. sifa ya kwanza ya mwanamke ni unyenyekevu (submission)Sipati picha anaishije na mume wake nyumbani
Huwezi kuwatoa CCM 2025Hiyo ndio Aina ya viongozi wajinga na wapumbavu waliochaguliwa kipumbavu... Kiongozi wao mkuu amejaa dharau na kiburi iweje anaowateua wasio Kama yeye?. Kuanza upya sio dhambi watanzania tuutoe uongozi mzima wa wapuuzi wa CCM kabla hata ya 2025... Nuru ya mabadiliko inamlika.
Mimi ni psycologist, kiasili mwanamke hutumia moyo (hisia) katika maamuzi na hafai kuwa kiongozi na hilo ni agizo la Mungu mwenyewe, kazi ya mama ni kulea Mimba na watoto!basi! Angalia tausi jike akiona madume hujitingisha kiharahasara kuwavutia madume na ndivyo asili ya mwanamke!🤣🤣🤣🤣🤣
Kujimwambafy ni usengeh sana.
Sasa hyo ilikua shida kubwa hadi kususa??
Wanawake ni mama zetu, lkn baadh yao hua wakuda.. kama huyo hapo.
Swali la kizush, hua wakitenguliwa wanapelekwa wapi?
halaf unaambiwa hatuendelei kisa united states of america hawatak tuendelee [emoji23][emoji23][emoji23]Atapangiwa kazi nyingine yenye ngazi ya mshahara sawa na aliyotolewa ndivyo mara nyingi inavyokuwa na ndo uzuri/udhaifu wa ajira za serkalini haribu bodi ya pamba utapelekwa bodi ya kahawa, ukiharibu tena ya kahawa utapelekwa bodi ya sukari[emoji1787][emoji1787]
Huyu katupiwa kitu cha sakizi (shakiizi kwa Kisambaa) si bure. Mpwa wangu Mshana unalionaje hili?View attachment 2721390
Imbainikuwa kuwa chanzo cha Rais Samia kutengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji ni kitendo cha kuonesha kiburi, dharau na kutoa lugha za kejeli kwa mfanyakazi wa Wizara hiyo aliyeenda kwenye Podium wakati akiwa anazungumza na kumpa 'Kinote'.
Jambo hilo lilionekana kumkasirisha Katibu Mkuu Nadhifa Kemikimba na akaamua kukatisha hatuba yake na kwenda kukaa.
Muda mfupi baadaye Waziri wa Maji alisogea kwenye Podium na kumuomba radhi Katibu Mkuu.
Halafu uzuri wake, ulichofanya ni kutoa maoni, si kosa kisheriaMm ndiye nilipeleka hicho kinoti kwa huyo mama, kiliandikwa hivi --wewe mama toka hapo kwenye podium waongee watu. Wewe huna hoja usitupotezee muda."
Mimi ni mwanaume lakini huwa napata tabu sana ya kuwaelewa wanaume wenzangu kuhusu mwanamke akifanya kosa kwenye nyadhifa yake.Wengi wa wanaume wana nasibisha kosa hilo na jinsia lakini kosa akifanya mwanaume hakuna anaye nasibisha na jinsia yake.hatari wanawake na uongozi tabu tupu. hawa ndio wanazidi kuwaharibia wanawake wenzake.
kuna umuhimu wa waandaji wa shughuli kuhakikisha sio kila mtu anaweza kufikia podium na kumpa memo mzungumzajiInawezekana alikuwa anaongea sana, akaletewa ki note kuwa maliza hotuba waziri aongee.
kwa mfano Mheshimiwa Rais kasahau kutambua uwepo wa Mzee Mashuhuri kwny hotuba yake utasubiri amalize kuongea au utampelekea kimemo ?Utamaduni wa kupeleka kimemo wakati mtu anaongea ni wa kijinga ni km unamfundisha aongee nini..mwache mtu aongee yake aliyopanga, km atakosea au kusahau yote hiyo ni juu yake! Hata ule utamaduni wa kutembeza vimemo bungeni ni wa hovyo..kila mtu yupo hapo kusema anachojua yeye ni sawa na si kusema kutokana na memo umeletewa na mwingine..hakuna bunge au kikao cha aina hiyo kinatembeza vimemo muda wote wakat wa kikao..hayo ni maigizo hakuna kikao hapo!
Iko hivi; kwenye Itifaki kiongozi kabla ya kuongea lazima akaribishwe na mwenye shughuli..kwenye huo mkutano ni watumishi wa Wizara ya Maji/DAWASA ambapo mgeni rasmi alikuwa Mhe. Waziri wa Maji na huyo KM alikuwa anaongea ili amkaribishe Waziri.Ni kweli Viongozi wengi hupelekewa vikaratasi vyenye jumbe mbalimbali lakini Nafikiri Huyo Mama Alipelekewa kikaratasi chenye Ujumbe wa Dharau ambao hakuweza Kuvumilia, Ndio Maana Akakitupa. Huyo aliye andika huweenda aliwaambia na wenzie, So Kibinadamu mtu akikuonesha Dharau mbele za Watu hutakiwi kuwa Mnyonge katika Process ya Ku react na Kujipa Confidence unatakiwa kumonesha Dharau Mara mbili ya Ile Aliyo kuonesha, Tumeona Kipindi Cha Magufuli alikuwa Hakubali mambo Ya Kijinga anamaliza pale Pale.
Je kuna mwenyewe anajua Nini Kiliandikwa kwenye Hicho Kimemo? Kosa Kubwa Ingekuwa kama Amepelekewa Kimemo hajakisoma na Kamlipua mpelekaji lakini kakisoma kaona kwa Level yake na Level ya Mtu aliyempeleka ni Kudharirishwa.
Haina Tofauti na Alicho Kifanya RC CHALAMILA KULE SOKONI [emoji120]
Showing people that you are angry is not just a weakness, it's a mistakeNi kweli Viongozi wengi hupelekewa vikaratasi vyenye jumbe mbalimbali lakini Nafikiri Huyo Mama Alipelekewa kikaratasi chenye Ujumbe wa Dharau ambao hakuweza Kuvumilia, Ndio Maana Akakitupa. Huyo aliye andika huweenda aliwaambia na wenzie, So Kibinadamu mtu akikuonesha Dharau mbele za Watu hutakiwi kuwa Mnyonge katika Process ya Ku react na Kujipa Confidence unatakiwa kumonesha Dharau Mara mbili ya Ile Aliyo kuonesha, Tumeona Kipindi Cha Magufuli alikuwa Hakubali mambo Ya Kijinga anamaliza pale Pale.
Je kuna mwenyewe anajua Nini Kiliandikwa kwenye Hicho Kimemo? Kosa Kubwa Ingekuwa kama Amepelekewa Kimemo hajakisoma na Kamlipua mpelekaji lakini kakisoma kaona kwa Level yake na Level ya Mtu aliyempeleka ni Kudharirishwa.
Haina Tofauti na Alicho Kifanya RC CHALAMILA KULE SOKONI [emoji120]
Sio inawezekana, ndivyo ilivyotokea.asichokijua inawezekana vimemo hivyo alipelekewa kwa maelezo halali ya Waziri.
Ndio maana ya neno itifaki imezingatiwa..tuwe wakweli, wewe ulishaona habari ya vimemo hata tu kwenye mikutano ya wakuu wa nchi EAC..? hivi asipotajwa mtu kwenye utambulisho kunapunguza nini kwenye tukio..kwa mtu aliyeelimika na anaishi kulingana na dhamira yake, kutotambuliwa uwepo wako ni jambo dogo sana..mtambue mtu kwa matendo mema na si kwa kutaja jina km unavyoeleza hapa.kwa mfano Mheshimiwa Rais kasahau kutambua uwepo wa Mzee Mashuhuri kwny hotuba yake utasubiri amalize kuongea au utampelekea kimemo ?
Usije ukashangaa Mama yule alipelekewa kimemo kuwa kasahau kutambua uwepo wa Mwenyekiti wa Chama Mkoa au Mwenyekiti wa Halmshauri yeye akaona upuuzi kwani lazima kutambua kila mtu kwa jina? …usomi ni pamoja na kutambua mazingira yako ya kazi
Kuna Kijana Mweka hazina wa Halmshauri alikutana na mazingira magumu sana ya kazi kwa kiburi cha kukataa kumtambua Diwani kwa kuanza na neno Mheshimiwa Diwani