Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

Tutegemee nini kwa mtu anaeitwa mikimba?

Kaiachia mikimba.

As a woman she is super stupid. Kazi haziendeshwi kwa "emotions". She's not composed at all.

Kama ndiyo sababu ya kutumbuliwa, anastahiki.
Leo udini umeweka pembeni umeandika kama mtu mwenye akili timamu, hatutei udini na upumbavu, hata Nape anatakiwa atenguliwe haraka + Makamba
 

Hana hekima, hakupaswa kuonyesha dharau kiasi hicho mbele ya Waziri wake! Katika utumishi, kuna maneno ya kimamlaka au amri hutakiwi kuyaongea mbele ya mkubwa wako.

Kwamfano, Makamu wa Rais amsimamishe Waziri na ampe maagizo mbele ya Rais. Huwezi kuona.
Iko hivi; kwenye Itifaki kiongozi kabla ya kuongea lazima akaribishwe na mwenye shughuli..kwenye huo mkutano ni watumishi wa Wizara ya Maji/DAWASA ambapo mgeni rasmi alikuwa Mhe. Waziri wa Maji na huyo KM alikuwa anaongea ili amkaribishe Waziri.
Sasa iko hivi; kama unaongea kabla ya muongeaji Mkuu/Mgeni Rasmi hutakiwwi kuwa mzungumzaji sana maana unaweza kuongea yale yote ambayo muongeaji Mkuu anakwenda kuzungumza na kwa kufanya hivyo inakuwa hakuna maana ya Mgeni Rasmi kuongea
Kwa maelezo hayo hapo juu kwa nilichokiona hapo kinafanana na maelezo yangu na ndiyo maana hao watu wa HR ambao kiutaratibu ndio wasimamizi wa Itifaki walikuwa wanamkumbusha Bosi/KM kwamba imetosha amkaribishe Mhe. Waziri ambae ndiye alikuwa muongeaji Mkuu.
Alichoharibu zaidi ni kushindwa kuficha hisia zake na kumkaribisha Waziri kihuni.
Yote kwa yote alijiona yuko sahihi lakini kimsingi waliokuwa wanampelekea kimemo walikuwa wanamsaidia na wakati mwingine asichokijua inawezekana vimemo hivyo alipelekewa kwa maelekezo halali ya Waziri.
Nawaza tu kwa sauti..huyu Dada kule Arusha kwenye semina elekezi sijui alienda kutalii tu.
Wasalam.
 
Huyu hastahili kuwa kiongozi. Mbona kuletewa ki note wakati unazungumza ni jambo la kawaida sana? Wanaletewa vi note hati kina Bidden, Trump na Obama? sembuse yeye? Yeye nani?
Hata Rais wetu uwa anapelekewaga ki note na anakisoma
 
Ukikaa kimya itapendeza sana kuliko hivyo unavyoendelea ..
Ndio maana sauti za kutaka katiba mpya zinasikika kila siku ili mambo ya aina hii yawekewe mipaka, mtu apande cheo kwa kustahili ili awajibike kwa mafanikio au kushindwa kwake kiutendaji..mambo haya ya kumteua mtu halafu unataka wewe utawale akili yake na asipofanya kukufurahisha umtoe hayana faida yoyote kwa watu na nchi kwa ujumla, itifaki haibuni majawabu ya watu kuletewa maji.
 
Nyinyi wenye akili na logic nyingi ndio sababu mnashindwa kufanya kazi kwny mazingira ya kiserikali Serikali, kama mtu wa Logic na miakili mingi mingi nenda zako kwny masoko ya hisa huko hutokutana na hizi protocol unazoziona hazina maana
Protocol haiwezi kukuletea majibu ya shida zako..ni kukuza vitu havina maana yoyote, ndio maana serikali unayoitetea inafuga wezi, underperformers, washirikina na haya mambo madogo madgo ndiko wanakojifichia hatma yake ni kushare umaskini na ujinga..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kujimwambafy ni usengeh sana.
Sasa hyo ilikua shida kubwa hadi kususa??
Wanawake ni mama zetu, lkn baadh yao hua wakuda.. kama huyo hapo.
Swali la kizush, hua wakitenguliwa wanapelekwa wapi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kimemo
View attachment 2721390
Imbainikuwa kuwa chanzo cha Rais Samia kutengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji ni kitendo cha kuonesha kiburi, dharau na kutoa lugha za kejeli kwa mfanyakazi wa Wizara hiyo aliyeenda kwenye Podium wakati akiwa anazungumza na kumpa 'Kinote'.

Jambo hilo lilionekana kumkasirisha Katibu Mkuu Nadhifa Kemikimba na akaamua kukatisha hatuba yake na kwenda kukaa.

Muda mfupi baadaye Waziri wa Maji alisogea kwenye Podium na kumuomba radhi Katibu Mkuu.
Kinote kilikuwa kinasemaje wakuda
 
Back
Top Bottom