Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

Ndio maana sauti za kutaka katiba mpya zinasikika kila siku ili mambo ya aina hii yawekewe mipaka, mtu apande cheo kwa kustahili ili awajibike kwa mafanikio au kushindwa kwake kiutendaji..mambo haya ya kumteua mtu halafu unataka wewe utawale akili yake na asipofanya kukufurahisha umtoe hayana faida yoyote kwa watu na nchi kwa ujumla, itifaki haibuni majawabu ya watu kuletewa maji.
Duuh Katiba Mpya itakataza hadi kumpeleka kimemo Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji akiwa anazungumza ?

Kitabu cha Katiba mpya itabidi kibebwe kwny kontena
 
Mimi ni mwanaume lakini huwa napata tabu sana ya kuwaelewa wanaume wenzangu kuhusu mwanamke akifanya kosa kwenye nyadhifa yake.Wengi wa wanaume wana nasibisha kosa hilo na jinsia lakini kosa akifanya mwanaume hakuna anaye nasibisha na jinsia yake.
Ni mfumo dume au inferiority complex kwa baadhi ya wanaume?


ni asili kwenye agano la kale ata walikuwa hawesabiwi.
 
Ni kweli Viongozi wengi hupelekewa vikaratasi vyenye jumbe mbalimbali lakini Nafikiri Huyo Mama Alipelekewa kikaratasi chenye Ujumbe wa Dharau ambao hakuweza Kuvumilia, Ndio Maana Akakitupa. Huyo aliye andika huweenda aliwaambia na wenzie, So Kibinadamu mtu akikuonesha Dharau mbele za Watu hutakiwi kuwa Mnyonge katika Process ya Ku react na Kujipa Confidence unatakiwa kumonesha Dharau Mara mbili ya Ile Aliyo kuonesha, Tumeona Kipindi Cha Magufuli alikuwa Hakubali mambo Ya Kijinga anamaliza pale Pale.

Je kuna mwenyewe anajua Nini Kiliandikwa kwenye Hicho Kimemo? Kosa Kubwa Ingekuwa kama Amepelekewa Kimemo hajakisoma na Kamlipua mpelekaji lakini kakisoma kaona kwa Level yake na Level ya Mtu aliyempeleka ni Kudharirishwa.

Haina Tofauti na Alicho Kifanya RC CHALAMILA KULE SOKONI [emoji120]
"Kwa level yake" huku ndio kujimwambafy Sasa, kwani yeye ni nani? Unadhani hao wa chini yake wanaweza kumpekekea boss wao memo mbaya? Hawaitaki kazi Yao? Hayo ni madaraka ya kulevya ndio maana watu wengi walioko kwenye position flani ni wajinga wajinga na kujiona sana
 
View attachment 2721390
Imbainika kuwa kuwa chanzo cha Rais Samia kutengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji ni kitendo cha kuonesha kiburi, dharau na kutoa lugha za kejeli kwa mfanyakazi wa Wizara hiyo aliyeenda kwenye Podium wakati akiwa anazungumza na kumpa 'Kinote'.

Jambo hilo lilionekana kumkasirisha Katibu Mkuu Nadhifa Kemikimba na akaamua kukatisha hatuba yake na kwenda kukaa.

Muda mfupi baadaye Waziri wa Maji alisogea kwenye Podium na kumuomba radhi Katibu Mkuu.
Huyu mama ni kabila gani?Si kwa dharau hizi.Kwanza kasomea nini?Ukute ana.degree ya Chupi.Hiyo uhandisi alisomea wapi?
 
Back
Top Bottom