pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Hawa viongozi hawakulelewa kuwa viongozi ndio shida moja ya Tz na ndio maana hawajitambui!
Kuna yule RC aliyekuwa anatukana watu kwenye soko moja! Hata kama walifanya vurugu yale sio maneno ya kiongozi kusimama jukwaani na kuanza kutukana watu kama uko klabu za komoni au ulansi!