Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

Nimetoa maelezo ya Kiitifaki huko juu ..kimsingi alikuwa anakumbushwa afupishe maelezo/ hotuba yake kwani kimsingi mhutubiaji hakuwa yeye bali Waziri...Mkaribishaji unavyoongea sana halafu unaongea yale ambayo mgeni rasmi (Waziri) anakuja kuyaongea inakuwa unavunja utaratibu.
Amewashambulia waliopeleka kimemo bila kujua maelekezo ya kupeleka hicho kimemo yalitoka kwa Waziri.
 
Mimi ni mwanaume lakini huwa napata tabu sana ya kuwaelewa wanaume wenzangu kuhusu mwanamke akifanya kosa kwenye nyadhifa yake.Wengi wa wanaume wana nasibisha kosa hilo na jinsia lakini kosa akifanya mwanaume hakuna anaye nasibisha na jinsia yake.
Ni mfumo dume au inferiority complex kwa baadhi ya wanaume?
Utakuwa mwanamke ila bado hujajitambua tu.
 
kuna umuhimu wa waandaji wa shughuli kuhakikisha sio kila mtu anaweza kufikia podium na kumpa memo mzungumzaji

kuna Mwaka wakati wa Mkapa kuna Muhuni alipanda ghafla kabla msoma risala hajaanza kusoma akabadilishiwa risala, naye akahisi yale mabadiliko labda ndio baada ya kuhaririwa Ikulu maana kabla ya kusoma Hotuba huwa zinapelekwa kule ili Rais asiwe surprised.

kilichotokea ikawa heka heka kila Mtu anashangaa, lakini Maskini ya Mungu Mzee yule Mungu Amrehemu alipogundua wahuni sio watu akaktisha kwa kutafuta maneno ya Hikma na akamwambia Mh.Rais kuwa sio lazima ajibu hoja zile pale , wao wana imani na Serikalk na watapatiwa majibu hata baadae

Mzee Mkapa kwa umakini na werevu wake akajua wahuni sio watu akasimama na akajibu vyema sana na wengi tukaridhika
Wahuni wote peponi
 
Hawa wanawake wanafanya sana kazi kwa stress. Unakuta ofisini full visirani, attitudes za ajabu na makasiriko. Sasa bora ametumbuliwa, akapeleke stress zake kwa familia yake, pumbavu
Tujitahidi kuwapa good sex majumbani ili waende kazini wako relaxed
 
Ndio maana ya neno itifaki imezingatiwa..tuwe wakweli, wewe ulishaona habari ya vimemo hata tu kwenye mikutano ya wakuu wa nchi EAC..? hivi asipotajwa mtu kwenye utambulisho kunapunguza nini kwenye tukio..kwa mtu aliyeelimika na anaishi kulingana na dhamira yake, kutotambuliwa uwepo wako ni jambo dogo sana..mtambue mtu kwa matendo mema na si kwa kutaja jina km unavyoeleza hapa.
Siasa na uongozi hauko hivi unavyotaka wewe.

Tukio la kisiasa halifanani na kusanyiko la harusi
 
Nikuelimishe kitu kidogo;
#Kwenye Itifaki hakuna kutambua watu kwa kutamka maneno "Itifaki imezingatiwa"
# Kwenye Itifaki kutotambua kwa kumtaja inaleta sana shida.
Hivyo, kwa kuitolea maelezo hoja yako ..pale inavyoonekana mlolongo wa watambulishwa ni ndefu...badala ya kutumia maneno ya " Itifaki imezingatiwa" wakati wa kufunga utambulisho tumia maneno haya" Mabibi na Mabwana".
Kumbuka tu kwamba hivi vitu viko rasmi na haviko tu kiholela.
Exactly matukio ya kiserikali protocol zake ni muhimu kuzifuata.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
View attachment 2721390
Imbainika kuwa kuwa chanzo cha Rais Samia kutengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji ni kitendo cha kuonesha kiburi, dharau na kutoa lugha za kejeli kwa mfanyakazi wa Wizara hiyo aliyeenda kwenye Podium wakati akiwa anazungumza na kumpa 'Kinote'.

Jambo hilo lilionekana kumkasirisha Katibu Mkuu Nadhifa Kemikimba na akaamua kukatisha hatuba yake na kwenda kukaa.

Muda mfupi baadaye Waziri wa Maji alisogea kwenye Podium na kumuomba radhi Katibu Mkuu.
WANAWAKE kadhaa nimewahoji, katika mazungumzo wanasema mwanamke anapokuwa kwenye meno-pause[kukoma hedhi] wanakuwa na hasira na visirani na mtume MSW alitambua hilo na kukataa katu kumpa mwanamke uongozi kukaa mbele za wanaume.
Wadau wa JF mnasemaje kwenye hili?

https://www.maji.go.tz/administration/list/50
Mpaka leo jumapili, IT wa Wizara wanaolipwa fedha za wanyonge, gari na nyumba bure hawajaondoa jina la huyu mama kwenye website ya wizara.
 
Huyu hastahili kuwa kiongozi. Mbona kuletewa ki note wakati unazungumza ni jambo la kawaida sana? Wanaletewa vi note hati kina Bidden, Trump na Obama? sembuse yeye? Yeye nani?
Yeye katibu tena mwanamke
 
Ni kweli Viongozi wengi hupelekewa vikaratasi vyenye jumbe mbalimbali lakini Nafikiri Huyo Mama Alipelekewa kikaratasi chenye Ujumbe wa Dharau ambao hakuweza Kuvumilia, Ndio Maana Akakitupa. Huyo aliye andika huweenda aliwaambia na wenzie, So Kibinadamu mtu akikuonesha Dharau mbele za Watu hutakiwi kuwa Mnyonge katika Process ya Ku react na Kujipa Confidence unatakiwa kumonesha Dharau Mara mbili ya Ile Aliyo kuonesha, Tumeona Kipindi Cha Magufuli alikuwa Hakubali mambo Ya Kijinga anamaliza pale Pale.

Je kuna mwenyewe anajua Nini Kiliandikwa kwenye Hicho Kimemo? Kosa Kubwa Ingekuwa kama Amepelekewa Kimemo hajakisoma na Kamlipua mpelekaji lakini kakisoma kaona kwa Level yake na Level ya Mtu aliyempeleka ni Kudharirishwa.

Haina Tofauti na Alicho Kifanya RC CHALAMILA KULE SOKONI [emoji120]
Hasira hasara,angekitunza then akitoka hapo aka dili na aliyemletea hicho kimemo kimya kimya mpaka akome.
Mtu akikuletea ujinga dili nae kadri ya ujinga wake.
 
Utamaduni wa kupeleka kimemo wakati mtu anaongea ni wa kijinga ni km unamfundisha aongee nini..mwache mtu aongee yake aliyopanga, km atakosea au kusahau yote hiyo ni juu yake! Hata ule utamaduni wa kutembeza vimemo bungeni ni wa hovyo..kila mtu yupo hapo kusema anachojua yeye ni sawa na si kusema kutokana na memo umeletewa na mwingine..hakuna bunge au kikao cha aina hiyo nchi zingine kutembeza vimemo muda wote wakat wa kikao..hayo ni maigizo hakuna kikao hapo!
Hujawahi kuwa Kiongozi ndio maana inasema hivyo.

Ukiwa kiongozi sio kwamba unajua kila kitu. Usione viongozi wanaongea mbele za watu kuna watu nyuma ya pazia wanaratibu na kumwandikia anachoongea. Ndio maana vimemo vinaletwa hata kwa Askofu Mkuu au Sheikh Mkuu. Hata Obama alikuwa analetewa sana vimemo

Mie katika maisha yangu uwa nikitoka kwenye podium popote pale lazima niulize kupata feedback kama nilikuwa sahihi. Ukiteleza tu unabomoa kila kitu.

Kwa taarifa yako karibu viongozi wote kabla ya kuongea uwa wanamuomba kwanza Mungu awape hekima
 
Back
Top Bottom