Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

Nimetoa maelezo ya Kiitifaki huko juu ..kimsingi alikuwa anakumbushwa afupishe maelezo/ hotuba yake kwani kimsingi mhutubiaji hakuwa yeye bali Waziri...Mkaribishaji unavyoongea sana halafu unaongea yale ambayo mgeni rasmi (Waziri) anakuja kuyaongea inakuwa unavunja utaratibu.
Amewashambulia waliopeleka kimemo bila kujua maelekezo ya kupeleka hicho kimemo yalitoka kwa Waziri.
 
Utakuwa mwanamke ila bado hujajitambua tu.
 
Wahuni wote peponi
 
Hawa wanawake wanafanya sana kazi kwa stress. Unakuta ofisini full visirani, attitudes za ajabu na makasiriko. Sasa bora ametumbuliwa, akapeleke stress zake kwa familia yake, pumbavu
Tujitahidi kuwapa good sex majumbani ili waende kazini wako relaxed
 
Siasa na uongozi hauko hivi unavyotaka wewe.

Tukio la kisiasa halifanani na kusanyiko la harusi
 
Exactly matukio ya kiserikali protocol zake ni muhimu kuzifuata.
 
Reactions: BRN
WANAWAKE kadhaa nimewahoji, katika mazungumzo wanasema mwanamke anapokuwa kwenye meno-pause[kukoma hedhi] wanakuwa na hasira na visirani na mtume MSW alitambua hilo na kukataa katu kumpa mwanamke uongozi kukaa mbele za wanaume.
Wadau wa JF mnasemaje kwenye hili?

https://www.maji.go.tz/administration/list/50
Mpaka leo jumapili, IT wa Wizara wanaolipwa fedha za wanyonge, gari na nyumba bure hawajaondoa jina la huyu mama kwenye website ya wizara.
 
Huyu hastahili kuwa kiongozi. Mbona kuletewa ki note wakati unazungumza ni jambo la kawaida sana? Wanaletewa vi note hati kina Bidden, Trump na Obama? sembuse yeye? Yeye nani?
Yeye katibu tena mwanamke
 
Hasira hasara,angekitunza then akitoka hapo aka dili na aliyemletea hicho kimemo kimya kimya mpaka akome.
Mtu akikuletea ujinga dili nae kadri ya ujinga wake.
 
Hujawahi kuwa Kiongozi ndio maana inasema hivyo.

Ukiwa kiongozi sio kwamba unajua kila kitu. Usione viongozi wanaongea mbele za watu kuna watu nyuma ya pazia wanaratibu na kumwandikia anachoongea. Ndio maana vimemo vinaletwa hata kwa Askofu Mkuu au Sheikh Mkuu. Hata Obama alikuwa analetewa sana vimemo

Mie katika maisha yangu uwa nikitoka kwenye podium popote pale lazima niulize kupata feedback kama nilikuwa sahihi. Ukiteleza tu unabomoa kila kitu.

Kwa taarifa yako karibu viongozi wote kabla ya kuongea uwa wanamuomba kwanza Mungu awape hekima
 
Ishu hicho kikaratasi kiliandikwa nini? Tusilaumu upande mmoja, japo pia anamakosa kuonyesha dharau

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…