rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Mhayaa yulee itakuwaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nachompendeaga Mhe. Makongoro Nyerere hivyo vimemo uwa anapewa sana akiwa jukwaani hata mbele ya Rais. Utamsikia "naona hapa nimeambiwa muda umekwisha sasa namalizia la mwisho kabisa" then watu wanacheka....anaendelea Ha ha ha!
Busara tu hutumika. Kimemo siyo dharau ni kwamba kila kitu kinakwenda kwa muda. Hata Rais upewa vimemo kujulishwa iwe muda au nini. Na utii. Kuwa na cheo kikubwa si wewe kuwa juu ya kila kitu. Ni vizuri kuwasikiliza hata ulowaamini walio chini yako.
Pole Katibu Mkuu, hasira hasara!