π missiles na drone zimepiga target Iran amepeleka drone 500 na na pia Missiles nyingi zimefika kwenye target, nyie bakini mnaimba hapa, na Israel hatasubutu kurudisha kipigo, hio ilikuwa ni break fast.
Iran ni level ingine.

View: https://youtu.be/tfL8V1yyNxg?si=tjNVxP7CSJuUm9ex
Tazama wewe vitu vinavyo tua kwenye base π
Tena Israel amshukuru America na Jordan wametungua hizo drone na missiles kwenye anga la yule bwege Jordan
π drones ndio nyingi yani Iran anatumia tactics ya hali ya juu na Israel anasaidiwa na Jordan na US, yule mwarabu Fala sana.Nimejikuta nacheka, yaani makombora 500 yote hakuna hata moja limepiga popote, kwa keli waburuza dera/kanzu mnatia huruma, huyo hapo Iran ndiye kiongozi wenu nyote...ndiye alikua tegemeo lenu duniani....
Makombora ya Iran yaangukia Iraq wanalia waarabu huko.Iran anasema nusu ya Missiles zake zimefika kwenye target π―
Na wanasema katika Missiles 117 walizo rusha
Na wanasema Israel anazuia Media zisichukue sehemu zilizo pigwa
View: https://youtu.be/qzP_-jrWnOk?si=I2dcSKMoC_WlOuYG
Hizo unazoona zote ni debris tu, hakuna hata moja limetua na kufanya chochote kile. Vipepeo tu.
View: https://youtu.be/tfL8V1yyNxg?si=tjNVxP7CSJuUm9ex
Tazama wewe vitu vinavyo tua kwenye base π
Tena Israel amshukuru America na Jordan wametungua hizo drone na missiles kwenye anga la yule bwege Jordan
Hizo zimeangushwa na America, Israel si anasaidiwa na US ikiwa Hamasi mpa Europe yote imemsaidia iwe apigane na Iran asisaidiwe πMakombora ya Iran yaangukia Iraq wanalia waarabu huko.
View: https://twitter.com/i/status/1779312995312570377
Sa tukuamini wewe au Iran πHizo unazoona zote ni debris tu, hakuna hata moja limetua na kufanya chochote kile. Vipepeo tu.
Huhitaji kuniamini mimi, fuatilia zilipoishia. Kwa akili zako za juzuu tu hapo unachokiona kuna kombora limetua na kufanya chochote?Sa tukuamini wewe au Iran π
Iran anasema nusu ya Missiles zake zimefika kwenye target π―
Na wanasema katika Missiles 117 walizo rusha
Na wanasema Israel anazuia Media zisichukue sehemu zilizo pigwa
View: https://youtu.be/qzP_-jrWnOk?si=I2dcSKMoC_WlOuYG