Minja Ngalason
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,284
- 1,839
Haha mwambie Israel awaruhusu media wafanye kazi zao, anawazuia nini sasa, kama yeye ametungua hizo drones na Missiles 99% of them 😄Huhitaji kuniamini mimi, fuatilia zilipoishia. Kwa akili zako za juzuu tu hapo unachokiona kuna kombora limetua na kufanya chochote?
😄 hamna lolote kapigika sawa sawa kwani Iran haoni kule kwake kama Missiles zake zimefika kwenye target, au hazijafika, si kila anacho ongea Israel mumuamini inatosha drama za Al Shifaa Hospital
😄 hamna lolote kapigika sawa sawa kwani Iran haoni kule kwake kama Missiles zake zimefika kwenye target, au hazijafika, si kila anacho ongea Israel mumuamini inatosha drama za Al Shifaa Hospital
Israel anazuia Media zisichukue sehemu walizo pigwa, eti aibu ikiwa US anakiri eti madhara c makubwa vile 😄"Iran imesema" Yaani mumekosa hata muislamu mmoja Israel mwenye simu aonyeshe walau kombora moja kati ya hizo 500 likipiga sehemu yoyote Israel.
Hii ni aibu kubwa sana kwa waislamu.
We wacha na propoganda za Mossad inatosha uwongo wao eti Al Shifaa Hospital ndio base ya Hamasi 😄View attachment 2962851upo jf unasema Israel kapigika,mhusika anakuambia hakuna kitu 😄😄
Ngoja tukuamini wewe,kapigika kweli kweli
Sawa mtaalamu wa kivita kutoka BuzaWe wacha na propoganda za Mossad inatosha uwongo wao eti Al Shifaa Hospital ndio base ya Hamasi 😄
Israel hawezi kukiri kapigika vibaya lazima akanushe, sababu hata asipo revenge wasema hakuzurika na chochote kile.
Hapa naona ni kama US na Israel walitafuta sababu ya kumshambulia Iran naona kama wamechoka kupambana na wapambe wake yaani Hamas, Hought na Izbulaah ambao ni kama Iran hapati athari za vita za moja kwa moja sasa na yeye ataenda kuonja athari za vita na hapo baada ya vita ndipo kunaweza kuwa na amani ya kudumu middle East. Ilikuwa ni ngumu kutokomeza hivi vikundi vitatu bila kudeal moja kwa moja na anaye watuma na kuwadhamini.View attachment 2962829
Kwa hiyo target ya Iran ilikuwa ni kumjeruhi huyo mtoto smbaye amejeruhiwa na manaki ya kombora lililoharibiwa?
Maana mpaka sasa makombora yote yaliyorushwa ndiyo yalichoambulia.
Ngoja apigwe na robo tu ya makombora aliyorusha uone kama Tehran inaenda kusimama.
Ilitafutwa tu sababu ayarusha yeye mwenyewe na moja kwa moja kutoka nchini mwaka na ameingia mazima.
Iran akipigwa mashambulio mawili tu pale Tehran utawala unaanguka inakuwa mwisho wa Ayatollah. Si Israel wala US wenye shida na Iran kama nchi au wananchi wake, bali wanayemtaka ni huyo aayatollah tu.Hapa naona ni kama US na Usrael walitafuta sababu ya kumshambulia Iran naona kama wamechoka kupambana na wapambe wake yaani Hamas, Hought na Izbulaah ambao ni kama Iran hapati athari za vita za moja kwa moja sasa na yeye ataenda kuonja athari za vita na hapo baada ya vita ndipo kunaweza kuwa na amani ya kudumu middle East. Ilikuwa ni ngumu kutokomeza hivi vikundi vitatu bila kudeal moja kwa moja na anaye watuma na kuwadhamini.
Hela ndogo hiyo kwa Israel,Marekqni ata print zingine na kumpaIsrael wamekiri leo tu kuangusha hizo drones na Missiles Imewacost karibu one Billion US Dollars
Safari hii Ayatollah anaenda kupinduliwaIran akipigwa mashambulio mawili tu pale Tehran utawala unaanguka inakuwa mwisho wa Ayatollah. Si Israel wala US wenye shida na Iran kama nchi au wanamchi wake, bali shida ya ni huyo aayatollah tu
Kwa nini Jordan anaisaidia Israel dhidi ya mwarabu mwenzake?drones ndio nyingi yani Iran anatumia tactics ya hali ya juu na Israel anasaidiwa na Jordan
Ni kama mwaka ule hapa kwetu kila kitu walisema BIG RESULTS NOWIran inasema makombora yake yamefanikiwa kupiga targets ndani ya Israel lakini haijathibitisha ni uharibifu kiasi gani umesababishwa na makombora na drones yaliyopiga targets!
Hilo ni jengo la wayahudi waislam Msikiti wao upo pembeni hauna likichuguu linalong'aa na hilo ndio tatizo tumeaminishwa hivyo kuwa ndio jengo la Msikiti ili siku Msikiti halisi ikivunjwa tuukatae bahati mbaya hatupotezwiMshukuru sana sayansi ya Israel imeweza kulinda hilo eneo lenu ambalo huwa mnaliamini sana tena kwa mizuka...
Surreal images of Israel's Iron Dome intercepting Iranian drones and missiles over Temple Mount in Jerusalem--the holiest place in the world for Christians, Jews and Muslims.
View: https://twitter.com/alexsalvinews/status/1779293386601566442
Hawa wandugu wangeusitiri uchi wao ila ndio hivyo, hawana akili. Bora wangeendelea kuwa pirates.Mshukuru sana sayansi ya Israel imeweza kulinda hilo eneo lenu ambalo huwa mnaliamini sana tena kwa mizuka...
Surreal images of Israel's Iron Dome intercepting Iranian drones and missiles over Temple Mount in Jerusalem--the holiest place in the world for Christians, Jews and Muslims.
View: https://twitter.com/alexsalvinews/status/1779293386601566442
Hilo ni jengo la wayahudi waislam Msikiti wao upo pembeni hauna likichuguu linalong'aa na hilo ndio tatizo tumeaminishwa hivyo kuwa ndio jengo la Msikiti ili siku Msikiti halisi ikivunjwa tuukatae bahati mbaya hatupotezwi
Iran mkorofi haivi na majirani zake anapandikiza makubdi ya kigaidi kwenye nchi za wenzake majirani ili wapindue nchi zao mchi za majirani kutwa wanasumbuliwa na waasi wansofadhiliwa na IranKwa nini Jordan anaisaidia Israel dhidi ya mwarabu mwenzake?