permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Wewe inazungumzia Iran kutest nuclear wakati Israel ana super nuclear imetulia hapo kwake, hizi ni akili za wapi?Hicho ndicho Iran wanataka, Israel ijibu Mapigo ili vita kamili ianze wapate kutest makombora ya nyuklia, na kuna nchi pia zitauzia Iran silaha ili zikatestiwe kwa kupigwa Israel,
sisi huku Buza Mpalanger tumeweka Al Jazeera TV 📺 , kila kitu tunapata live
Yaani wamepigwa sana mpk hawatembei nchi nzimaNa wewe umewaamini, ulitaka waseme wamepigwa sana? Au wasema kwamba hawatarudisha?
Sidhani kama Israel ni mjinga kiasi hicho kuweza kurudisha mashambulizi, hawezi kuthubutu. Labda aombe radhi kwa kuupiga ubalozi wa Iran, aseme ilikuwa bahati mbaya.We wacha na propoganda za Mossad inatosha uwongo wao eti Al Shifaa Hospital ndio base ya Hamasi 😄
Israel hawezi kukiri kapigika vibaya lazima akanushe, sababu hata asipo revenge wasema hakuzurika na chochote kile.
Assets tatu ,tu naomba tutajie tuongeze nasi maarifa.Kuna "assets" za Mossad zaidi ya 1000 zimekuwa "activated" within Iran.
Iran wasiombe "pooo" tu.
Hawezi Mtangazaji wa cnn Niick Robson anasema maisha yake hajawahi ona anga la Israel drones na Missiles vile.Taarifa za hivi punde! Israeli imesema itajibu hayo mashambulizi ya Iran si kwa maneno bali kwa Vitendo!
Muajemi ajiandae!
Wamekufa wangapi?😄 missiles na drone zimepiga target Iran amepeleka drone 500 na na pia Missiles nyingi zimefika kwenye target, nyie bakini mnaimba hapa, na Israel hatasubutu kurudisha kipigo, hio ilikuwa ni break fast.
Iran ni level ingine.
CNN ndio walisema drone 500 kumbe ni drone 200 mpaa US hawajui drones ngapi.Wamekufa wangapi?
Hawezi kuthubutu, atafutwa kwenye uso wa dunia!Taarifa za hivi punde! Israeli imesema itajibu hayo mashambulizi ya Iran si kwa maneno bali kwa Vitendo!
Muajemi ajiandae!
Na hichi ndicho marekani anakitaka ukichanganya binadamu wa sasa hasa vijana wanapenda uhuru wa kuishi wanavyotaka naona kabisa Iran atageukwa na raia wake.Safari hii Ayatollah anaenda kupinduliwa
Joto ndani ya Oran ni kubwa watu hawataki utawala wake wa nguvu ya chuma ya sharia za kiislamu anataka taifa huru la kidemokrasia ya nchi za magharibii
Israel na marekami wakianza kushambulia Iran na waasi wanaanza mashambulio ndani ya Iran
Al Jazeera wameonesha leo aina tatu za makombora ya Iran yaliyorushwa na aina nne za mifumo ya Israel ya kutungua makombora.Mkazi wa tandale anajua hadi aina ya missile iran walizorusha dhidi ya israel
Yaani anataka kutuaminisha iran walimpa briefing kabla hawaja-attack israel ila jamiiforum kuna watu wanavituko sana
Na muisraeli majibu yake nadhani wote tunayajua sasa watu wasije anza kusema haki za binadam mara sijui cease fire. Nimesoma mahali Iran kasema yeye tayar kashalipiza kisasa na kumtaka Israel asijibu mapigo inamaana Iran yeye hataki hii vita au?Taarifa za hivi punde! Israeli imesema itajibu hayo mashambulizi ya Iran si kwa maneno bali kwa Vitendo!
Muajemi ajiandae!
Hiki ndo nilikuwa nakifkilia,yaani aingie mzima mizma then wajomba wafanye jamboView attachment 2962829
Kwa hiyo target ya Iran ilikuwa ni kumjeruhi huyo mtoto ambaye amejeruhiwa na mabaki ya makombora yaliyoharibiwa?
Maana mpaka sasa makombora yote yaliyorushwa ndiyo yalichoambulia.
Ngoja apigwe na robo tu ya makombora aliyorusha uone kama Tehran inaenda kusimama.
Ilitafutwa tu sababu ayarusha yeye mwenyewe na moja kwa moja kutoka nchini mwaka na ameingia mazima.
Hii sasa ni vita kubwa na mpya between two super powers Iran na Israel maana Iran ni nchi tajiri yenye msuli mkubwa wa kijeshi na pia ina washirika kama Russia na China ambao wanaweza kutuma silaha zikajaribiwe kwa kuipiga Israel, Israel na dunia ya wazungu sasa wamepata kitisho kikubwa na msemaji wa kijeshi wa Israel anaongea kuwa baadhi ya makombora yametua na kuleta hasara na binti mdogo kuumia, Israel wanafanya vikao kujadili mbinu za kujilinda, Israel wameomba msaada wa dharura wa kulindwa kutoka Marekani ambako leo kuna kikao kizito chini ya President wao aliekatisha safari zake na kurudi Washington kuja kujadili barua ya maombi ya Israel na nini kifanyike kuilinda Israel kwa njia za kidiplomasia, kutatua mzozo mpya kwa njia za amani, yaani marekani hawataki kabisa hiyo Vita mpya, haijulikani wanahofu nini.
Wakati huo huo katibu mkuu wa UN ameitaka Iran kuacha vita hiyo akisema dunia haina tena nguvu kuhimili vita mpya ya giants wawili Iran na Israel, maana balaa lake ni kubwa kwa nchi zote mbili baada ya Iran kusema wanasubiri Israel ijibu. Inadhaniwa kuwa Iran ina silaha za nyuklia ambazo inatafuta pa kwenda kufanya majaribio na inaweza kuwa Israel ambako raia wake wote wanaichukia sana.
Vita sasa ni kubwa maana jana Iran imechukua kibabe baharini meli ya Israel iliyokuwa na shehena ya mzigo wa Israel na Israel hawakuweza kuzuia zaidi ya kulalamika kuomba Iran iwekewe vikwazo na EU.
Shule zimefungwa huko Israel na raia wa Israel wameambiwa na jeshi lao wajilinde. Hofu imetawala.
Raia wa Iran Leo wanakusanyika mitaani na kusherehekea kuanza vita na Israel kwa mara ya kwanza katika historia yao. Kiongozi wa Iran amesema Israel imeingia cha kike kushambulia ubalozi wao wa Syria ambako ni mshirika wao watakoma na wameionya US kuingilia Vita hiyo na kuwa tayari kuadhibiwa na wao washirika wote wanaoisaidia Israel.
Israel imeomba kufanyike kikao leo cha baraza la usalama la umoja wa mataifa kujadili mashambulizi ya Iran huko Israel na kukitaka kikao kilaani mashambulizi hayo. Iran imejibu hoja na kusema kikao kikikaa kilaani mashambulizi ya Israel kwenye ubalozi wao huko Syria ambako kuna maofisa wakubwa wa Iran walikufa.
Kwasasa duniani kuna kususiwa bidhaa za Israel ambako makampuni ya Israel yanafunga biashara na watu kuachishwa kazi, hii ni hatari sana kwa ustawi wa Israel.
Hivi sasa ndio vita kubwa imeanza maana baada ya baadhi ya drones na missiles kutunguliwa na zingine kutua kama Iran inavyodai, Israel ikijibu kama ambavyo wameahidi kulipiza, Iran itatuma ndege zisizo na rubani, sasa ndo kumekucha, Iran inapenda sana vita, iliwahi kupigana na Iraq ya Saddam kwa miaka 8 hadi pale makombora yenye hewa ya sumu yalipotumika na watu kufa kwa wingi huko Iran.
Kitu kizuri Israel inazuia uchukuaji wa picha za athari ya vita na ina iron Dome inayotungua baadhi ya makombora mengine yanapenya.
Wakati huo huo kuna makombora yanatumwa Israel toka Lebanon
Source: Al Jazeera TV mda huu kila kitu kinaongelewa.
Sisi bongo ni nyasi zitakazoumia kwenye vita ya tembo baada ya bei ya mafuta kupanda bei, bei ya bidhaa kupanda na nauli kupanda.
Drones za "Shaheed family" zote zinatumia GPS.Haha drone za Iran hazifati GPS dogo, usidhani Missiles zote zinafata GPS.
Iran inatetewa na Russia kwenye kikao cha UN , kazi ipo huko gulfAl
Drones za "Shaheed family" zote zinatumia GPS.