Video: Jinsi makombora ya Iran yanadunguliwa juu ya eneo takatifu Duniani kwa Wakristo, Waislamu na Wayahudi

Video: Jinsi makombora ya Iran yanadunguliwa juu ya eneo takatifu Duniani kwa Wakristo, Waislamu na Wayahudi

Mshukuru sana sayansi ya Israel imeweza kulinda hilo eneo lenu ambalo huwa mnaliamini sana tena kwa mizuka.

===

Surreal images of Israel's Iron Dome intercepting Iranian drones and missiles over Temple Mount in Jerusalem--the holiest place in the world for Christians, Jews and Muslims.
Hahahahaa uharo mtupu.

Si ulisema Iran hawana uwezo wowote.

Tulia dawa iiingie.
Bwana yenu kaona mziki mzito

View: https://x.com/iranobserver0/status/1779351978922893641?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Sawa mtaalamu wa kivita kutoka Buza
Una intelegensia kali kupitia simu yako ya tekno
Unajua sana
Nyie baadhi ya wakristo damu zenu zilisha gandishwa kwenye ubongo wale mazionist na muingereza.
Waliwatungia kitabu kinaitwa bibilia wakatumia jina la Nabii Yakobo kutengeneza jina la nchi 1948 inaitwa Israel kwa kucopy ule Mstari wa Mungu unasema Yeyote atakaye mdhuru Yokobo ambaye kwa jina lingine anaitwa Israel, Mungu atamdhuru ndio wakaona hapo watengeneza nchi inaitwa Israel ili mudanganywe ni taifa la Mungu 😄

Israel na US hawawezi kusema kuna madhara ni aibu kwao, eti 99% tumeangusha makombora wacha wawadanganye wajinga kama nyie, Iran kwani hawapati infomation target walizo piga zime pigika au vipi jidanganyeni tu.

Si mlisema US kapeleka majeshi Iran akimpiga Israel atashambuliwa, sababu walikuwa wanamtafuta Iran siku nyingi sa kiko wapi. Wote baba na mama waumefyata mkia wao hawatasubutu kurudisha kipigo watabaki kusema hakuna madhara wao na vibaraka wao warabu watajidai hakuna Iran alicho fanya ili wawadanganye wananchi zao Israel huwa haipigiki 😄
 
Iran anasema nusu ya Missiles zake zimefika kwenye target 💯

Na wanasema katika Missiles 117 walizo rusha

Na wanasema Israel anazuia Media zisichukue sehemu zilizo pigwa


View: https://youtu.be/qzP_-jrWnOk?si=I2dcSKMoC_WlOuYG

We kiazi kweli video zinachukuliwa na raia wa kawaida una taka kumdanganya nani? Hizo target ukiacha iyo base iliyo shambuliwa na ayo makombora 7 ambayo yali fanikiwa kupenya kweny mfumo wa ulinz wa anga ni wapi tena pameshambuliwa na kupata madhara??
 

View: https://youtu.be/tfL8V1yyNxg?si=tjNVxP7CSJuUm9ex

Tazama wewe vitu vinavyo tua kwenye base 😄

Tena Israel amshukuru America na Jordan wametungua hizo drone na missiles kwenye anga la yule bwege Jordan

Jordan katungua na kuuwa watu wake ni kiherehere chake
Nashangaa alivyokuwa anamuogopa Saddam wakati ule akirusha makombora na kupita juu ya anga lake ingawa alikuwa baba yake na mfalme wa sasa King Hussein
Leo hili toto linajifanya lina urafiki nao
Sass kajitafutia uadui na Iran bure
 
Mshukuru sana sayansi ya Israel imeweza kulinda hilo eneo lenu ambalo huwa mnaliamini sana tena kwa mizuka.

===

Surreal images of Israel's Iron Dome intercepting Iranian drones and missiles over Temple Mount in Jerusalem--the holiest place in the world for Christians, Jews and Muslims.
Big up!!!Leo umekuja na post nzuri sana.
Wayahudi, wakristo, waislamu,na watu wa dini nyingine Wana haki ya kuishi na kuabudu kwa Imani zao!
Ni wajibu wa Dunia hii kulinda na kutetea tamaduni hizo.
Hata wapagani nao Wana haki ya kuishi kwa amani.
 
Israel ingetumia fursa hiyo kulipuwa na kuvunja hekalu la waarabu iliyojengwa juu ya hekalu (Temple Mont) la wayahudi lililojengwa na babu yao Solomon kwa maagizo ya Mungu wao, maajabu yaani mtu anaota ndoto akiwa Khartoum Sudan kuwa alipaa kuja ikulu ya South Africa, halafu ndugu zake wanakuja kudai Johannesburg South Africa ni mji wao wa tatu mtakatifu na wanajenga kwa nguvu hekalu na kudai ni kwao.!!!
 
unadungua makombora 99 ila 1 linapenya na kupiga.

Bwashee, hiyo iahesabika umepigwa tu, hata kama umepigwa na kombora 1

Maana hata Iran walikuwa wanajua kuwa ili wafanikiwe lazima warushe mengi ili machache yapite!

Wairan wamefanikiwa kupiga airbase huko Jangwa la Negev hiyo ni tosha kabisa haina haja ya kuua raia wasio na hatia
 
We kiazi kweli video zinachukuliwa na raia wa kawaida una taka kumdanganya nani? Hizo target ukiacha iyo base iliyo shambuliwa na ayo makombora 7 ambayo yali fanikiwa kupenya kweny mfumo wa ulinz wa anga ni wapi tena pameshambuliwa na kupata madhara??
😄 we kiazi achoo kuota ndoto upo kwenye screen, Eti missiles saba ndio zimepenya we hebu tuonyeshe zilizo pigwa na Israel ngapi, kichaa kweli wewe kuna nchi itatoa aibu yake haswa hio Israel na America.

Kwanza Israel yenyewe imekiri nchi nyingi za Europe zimeisaidia Israel kuzuia baadhi ya hizo missiles kufika.

Iran aliwacha wazi American, Israel na Europe waone time zinaondoka missiles angetaka kuziwia ange zuwia wasione.

Huyo American mwenyewe alikuwa ana babaisha tu mara aseme drones 50 mara 100 mara 400 mara 500 zimetoka Iran hapo ni wazi wazi US wala Israel hawawezi kuwa na uwezo wakugundua chochote zaidi ya kelele tu.

Iran hakusema drones ngapi zilienda wao ndio wakawa wanajisuta mara oh 117 mara oh sijui 99% tumeziangusha Europe yote ilikuwa pale Jordan wanamkingia kifua Israel na Missile zime land.

We kaa una bweka hapa wenzako ni kilio huko hawajui wafanye nini. Wacha ajaribu kujibu sasa shambulizi ndio ataifahamu Iran vizuri.


Hi habari Israel anakiri wazi nchi nyingi za Europe zimemsaidia na FYI hi Channel Al Arabiya ni channel ya Israel iko pale UAE wanajidai ya Saud Arabia na siku zote iko against Iran.


View: https://youtu.be/xidJy5zE8O8?si=IzoE4_CAdBHZh4xN
 
Mshukuru sana sayansi ya Israel imeweza kulinda hilo eneo lenu ambalo huwa mnaliamini sana tena kwa mizuka.

===

Surreal images of Israel's Iron Dome intercepting Iranian drones and missiles over Temple Mount in Jerusalem--the holiest place in the world for Christians, Jews and Muslims.
kikubwa sisi iran tulioambiwa hatuwezi kujibu mapigo yenu nyie mashoga tumeanza kazi sasa maneno weka pembeni kipigwe tu
 
😄 drones ndio nyingi yani Iran anatumia tactics ya hali ya juu na Israel anasaidiwa na Jordan na US, yule mwarabu Fala sana.


Missiles zote karibu 90% zimepiga target ni 10% ndio zimeangushwa.

Hizo drone hata atungue 500 ndio anacho taka Iran kumaliza hizo missiles za Air defence system 😄

Ziko nyingine bado njiani mchezo haujaisha bado
Atapigwa nyuklia orijina, alafu mtakimbila misikitini kulia lia
 
View attachment 2962829
Kwa hiyo target ya Iran ilikuwa ni kumjeruhi huyo mtoto ambaye amejeruhiwa na mabaki ya makombora yaliyoharibiwa?
Maana mpaka sasa makombora yote yaliyorushwa ndiyo yalichoambulia.
Ngoja apigwe na robo tu ya makombora aliyorusha uone kama Tehran inaenda kusimama.
Ilitafutwa tu sababu ayarusha yeye mwenyewe na moja kwa moja kutoka nchini mwaka na ameingia mazima.
Yaani unavyojishongondoa utadhani Iran ni msumbiji vuta subra
 
😄 missiles na drone zimepiga target Iran amepeleka drone 500 na na pia Missiles nyingi zimefika kwenye target, nyie bakini mnaimba hapa, na Israel hatasubutu kurudisha kipigo, hio ilikuwa ni break fast.

Iran ni level ingine.
Kuna "assets" za Mossad zaidi ya 1000 zimekuwa "activated" within Iran.
Iran wasiombe "pooo" tu.
 
Kuzimwa kwa GPS huko Mashariki ya Kati yote ni ishara kuwa Israel wamefanikiwa kuyadungua.
😄 hamna lolote kapigika sawa sawa kwani Iran haoni kule kwake kama Missiles zake zimefika kwenye target, au hazijafika, si kila anacho ongea Israel mumuamini inatosha drama za Al Shifaa Hospital
 
Mshukuru sana sayansi ya Israel imeweza kulinda hilo eneo lenu ambalo huwa mnaliamini sana tena kwa mizuka.

===

Surreal images of Israel's Iron Dome intercepting Iranian drones and missiles over Temple Mount in Jerusalem--the holiest place in the world for Christians, Jews and Muslims.
Screenshot_20240414_141145_Instagram.jpg
 
Nyuklia!? Nani kati ya hao wakubwa hana nyuklia!? Eti ina allies!? Allies Gani ambao wameshawahi msaidia Iran!?
Kwa mara ya kwanza tangu vita ya Gaza kuanza leo Russia wameongea kuiomba Iran isifanye mashambulizi. Angalia TV acha kutumia stori za mtaani
 
Vyuma vimetua wazee tuache propaganda
 

Attachments

  • v12044gd0000codkv8vog65hm6u86uv0.mp4
    4.3 MB
  • v12044gd0000codi84vog65u37rpd9pg.mp4
    2.5 MB
  • v12044gd0000codhpvfog65h6o4tmrs0.mp4
    6.6 MB
NISISIKIE NYOKO NYOKO CEASE FIRE
Iran ni nchi tajiri yenye silaha za maangamizi sio kikundi kama Hamas, ni wazungu ambao hivi sasa wanakutana na kuomba cease fire. Angalia TV acha kujidanganya, nyuma ya Iran kuna Russia, China na Turkey wote watatuma silaha Iran zikafanyiwe majaribio Israel. Iran wameonya Israel isijaribu kujibu wataangamia.
Bado huijui Iran ambayo Marekani inahangaika nayo kuzuia uzalishaji wa silaha za nyuklia ambapo wanasayansi wake sita wa nyuklia wamewindwa na kuuawa.
Marekani wameiambia Israel haitajiingiza katika vita iwapo watajibu mapigo. Hawamo!!
Waziri mkuu wa Israel hadi sasa yuko kimya na si kawaida yake.
Huko mashariki ya kati kunatisha hivi sasa baada ya makombora ya Iran kurushwa jana, na mengine wameona yalitoka Syria na Iraq.
Wazungu wameambiwa wasiende huko kwasasa kunatisha.
Hii ni vita ya tembo na athari zake zitafika duniani kote hadi bongo.
Source : Al Jazeera TV
Amka
 
Back
Top Bottom