Video: Jinsi makombora ya Iran yanadunguliwa juu ya eneo takatifu Duniani kwa Wakristo, Waislamu na Wayahudi

Video: Jinsi makombora ya Iran yanadunguliwa juu ya eneo takatifu Duniani kwa Wakristo, Waislamu na Wayahudi

Iran ni nchi tajiri yenye silaha za maangamizi sio kikundi kama Hamas, ni wazungu ambao hivi sasa wanakutana na kuomba cease fire. Angalia TV acha kujidanganya, nyuma ya Iran kuna Russia, China na Turkey wote watatuma silaha Iran zikafanyiwe majaribio Israel. Iran wameonya Israel isijaribu kujibu wataangamia.
Bado huijui Iran ambayo Marekani inahangaika nayo kuzuia uzalishaji wa silaha za nyuklia ambapo wanasayansi wake sita wa nyuklia wamewindwa na kuuawa.
Marekani wameiambia Israel haitajiingiza katika vita iwapo watajibu mapigo. Hawamo!!
Waziri mkuu wa Israel hadi sasa yuko kimya na si kawaida yake.
Huko mashariki ya kati kunatisha hivi sasa baada ya makombora ya Iran kurushwa jana, na mengine wameona yalitoka Syria na Iraq.
Wazungu wameambiwa wasiende huko kwasasa kunatisha.
Hii ni vita ya tembo na athari zake zitafika duniani kote hadi bongo.
Source : Al Jazeera TV
Amka
Wewe ni kenge tuuuu, unaueogopa
 
Ogopa sana mtu anayekuambia vitu kwa asilimia 99, huwa ni waongo sana. Kuna article zinatofautiana mara aseme 94, mara 97, mara drone 300 mara 200 mara 500 yani uongo uongo tu hawa Israhell
Kwanza walisema Iran hakupiga base yao, jana wamekiri nakuonyesha eti wanarepaired damage wametafuta sehemu ilio kuwa haikudhurika sana ili wa records wanaitengeneza 😄
 
Ogopa sana mtu anayekuambia vitu kwa asilimia 99, huwa ni waongo sana. Kuna article zinatofautiana mara aseme 94, mara 97, mara drone 300 mara 200 mara 500 yani uongo uongo tu hawa Israhell
IMG_20240415_152350.jpg
 
Back
Top Bottom