VIDEO: Jinsi ya kuitumia JamiiForums (Wageni na Wanachama)

Status
Not open for further replies.
Kama unaingia Jamiiforums kwa kutumia Browser halafu ingia kwa kutumia Desktop maana mimi huwa natumia Wapsite, pia bonyeza palipoandikwa Upload file itakuletea option mbalimbali, chagua picha unayotaka ku-Upload halafu bonyeza kwenye close kisha itatokea attach pale chini mwishoni halafu bonyeza tena palipoandikwa full image malizia na kitufe cha send.

Picha yako itatokea.

Ukitumia kwa njia ya kucopy link wengi inawasumbua.

Haya jaribu.
 
jinsi ya kubadili jina je? maana nasumbuka Leo wiki ya 3
 
Jaman wekeni options ya kufuta post we need it please na naomba mfute post zangu zote please leo n siku nyingine naomba pleeeeeees
Nilijua ni ushamba wangu tu kuwa siwezi kufuta thread kumbe ni tatizo lao wenyewe...
 
Ni imani yangu waliojiunga hivi karibuni wanamengi sana ya kuujulisha uma wa humu ndani
Ila wanashindwa kwa hofu ya kusemwa vibaya pale wanapokosea. Au kutojua afanye nini ili aweke kitu alichokusudia.
Hivyo uzi huu ni kwa ajili ya kujifunza kupost, pia unaweza uliza chochote kuhusu jinsi ya kuremba post wauzi watakuelekeza.

Ukipost mara mbili au tatu bila kurekebishwa utakuwa uefuzu hivyo unaweza kujiachia kwenye mjukwaa makubwa
 
nataka kujua jinsi ya kupata post za zamani zinazokaribiana maana sawa na unayoisoma leo, kwa mfano: mume wangu haniyosherezi kimapenzi, ukiifungua chini yake zinatokea nyingine za zamani zinazofanana na hiyo
 
nataka kujua jinsi ya kupata post za zamani zinazokaribiana maana sawa na unayoisoma leo, kwa mfano: mume wangu haniyosherezi kimapenzi, ukiifungua chini yake zinatokea nyingine za zamani zinazofanana na hiyo
Una search hio unayotaka. Ziakuja nyingi zinazofanana.
 
Mi kila nikiandika Uzi sipati kisehemu kinachoruhusu kuachia..natumia window phone..nielekeze naachiaje Uzi huo baada ya kuandika?
 
QUOTE="tejay, post: 24998793, member: 345736"]Namaanusha app ya jf au brower kama vile opera[/QUOT..mmhh sina app yoyote Kati ya hizi.na nahisi hapo tatilo lipoanzia
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…