VIDEO: Jinsi ya kuitumia JamiiForums (Wageni na Wanachama)

VIDEO: Jinsi ya kuitumia JamiiForums (Wageni na Wanachama)

Status
Not open for further replies.
asante kwa kujitolea umekuwa faida kwa jamii
Almighty lord be with u
 
Wakuu,

Kumekuwepo maombi toka kwa wadau wengi wakitaka kujua jinsi ya kuitumia JF mpya.

Video mbili zinazoambatanishwa zinaeleza kwa ufupi jinsi ya kuitumia. Video nyingine mbili zitaongezeka katika kuongezea juu ya features mpya zitakazoongezeka JF (hivi karibuni).

Kwa wale wanaoitembelea JF kama guests (hata wanachama mnashauriwa kuangalia), naomba muiangalie hii video:

​

Kwa wanachama, video hii chini inahusika pia. Kuna kitu nimesahau kukigusia lakini ni rahisi, kuweka videos kwenye thread tunashauri mtu aipeleke VIMEO, YouTube kwingineko; hapa JF una-paste link tu na video automatically itakuwa embedded.

​

Usisite kuwasiliana nasi pindi utakapokwama kwa lolote.

Aidha, ni vema kusoma topic hizi:

The New JamiiForums Interface: Maoni yako tafadhali...

Topic gani hufungwa au kufutwa kabisa JF?

na

JamiiForums Rules
Samahani hivi ninapopost mjadara wangu huwa kuna sehemu ya kuandika aina ya mjadara sasa kuna maneno ma3 yanatokea hapa sieleewi yanamaanisha nn na ni lipi nichague ili mjadara wangu uonekane na kila mtu au vp naomba kujuzwa haya maneno yanahusu nn na lipi ni zuri kuweka.
0c4eaf7532e9928d775fac75eb8c72dd.jpg
 
Naombeni mnijibu jomon kwa mwenye uelewa wa hapa nilipokwama ili niwe na amani
 
wadau naombeni kujua namna ya kubadili username yangu hpa jamii forum!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom