Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Ukijaribu kutaka kugombe hicho kigoda unafukuzwa chapu chapu
In God we Trust
Kamanda wa sungu sungu!
In God we Trust
Kamanda wa sungu sungu!
Membe ni mtu mkubwa na mwenye akili hawezi kufanya maamuzi kwa kufundishwa na wewe mchimba visimaMembe njoo chadema ugombee urais,tutakusafisha ufisadi wako wote wa mabilioni ya Libya.
Chama chetu hakibagui mtu uwe mwizi ,mchawi na fisadi sisi hatutajali ili mradi tu unatuletea wana chama wa kutosha na ruzuku yetu inaongezeka..
Nakushauri ukimbilie chadema kwa sababu chama chetu kina uzoefu wa kubadili gia angani na kupokea na kusafisha mafisadi tangu mwaka 2015.
Kabla hujachelewa Membe umeguswa ,sasa nuka ukielekea chadema na sisi tutakupokea kwa kishindo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe anaweweseka
Trump tayari ana taarifa hizoNi kweli amekamatwa na polisi wa ccm baada ya kumaliza mkutano
Buku 7 ujasiri wakutoa comment mnapata wapi mkijua ccm imeongoza na imefanya uharibifu for more than 50 yrs.
Unazungumzia kuhusu chacha wangwe au zitto kabwe au sumaye!Ukijaribu kutaka kugombe hicho kigoda unafukuzwa chapu chapu
In God we Trust
Anayo taarifa chama kikongwe tanzania kimesoma na kutafsiri vyema vifungu vya katiba yake mtu chalii!Trump tayari ana taarifa hizo
In God we Trust
Yupo ufipa muda huu!Masikini Membe
In God we Trust
Kwan lowasa alikuwa na cheo gani chadema? Nyie maccm mbn wote mliowanunua tayar mewapa nafc
Sent using Jamii Forums mobile app
Unazungumzia kuhusu chacha wangwe au zitto kabwe au sumaye!
Yupo ufipa muda huu!
Anayo taarifa chama kikongwe tanzania kimesoma na kutafsiri vyema vifungu vya katiba yake mtu chalii!
Unaonyesha wewe sio mwanachadema!
Clip ilifaa imuoneshe Mbowe akiwasili mkutanoni, sasa kama hujamuona akiwasili nenda kamuone daktari wa macho mkuuHiyo clip mbona hakuna watu kabisa!
Kuna Watu wengine mmmmh. Hivi mliowaita hayo Majina mbona wamerudi tena huko walikotoka na kupokelewa. Ukienda West ni Fisadi unasafishwa. Ukirudi East kimya, alienda tu kuchafua West. Waacheni Wanasiasa waharibu Bahati zao za kuongoza Dola.Membe njoo chadema ugombee urais,tutakusafisha ufisadi wako wote wa mabilioni ya Libya.
Chama chetu hakibagui mtu uwe mwizi ,mchawi na fisadi sisi hatutajali ili mradi tu unatuletea wana chama wa kutosha na ruzuku yetu inaongezeka..
Nakushauri ukimbilie chadema kwa sababu chama chetu kina uzoefu wa kubadili gia angani na kupokea na kusafisha mafisadi tangu mwaka 2015.
Kabla hujachelewa Membe umeguswa ,sasa nuka ukielekea chadema na sisi tutakupokea kwa kishindo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha unafiki na uchochezi.Mbona jizi la nyumba unalikumbatia?Membe njoo chadema ugombee urais,tutakusafisha ufisadi wako wote wa mabilioni ya Libya.
Chama chetu hakibagui mtu uwe mwizi ,mchawi na fisadi sisi hatutajali ili mradi tu unatuletea wana chama wa kutosha na ruzuku yetu inaongezeka..
Nakushauri ukimbilie chadema kwa sababu chama chetu kina uzoefu wa kubadili gia angani na kupokea na kusafisha mafisadi tangu mwaka 2015.
Kabla hujachelewa Membe umeguswa ,sasa nuka ukielekea chadema na sisi tutakupokea kwa kishindo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Lete nyingine kaka.
Halafu mnamwambia aache uenyekiti? Treatment na kunyeyekewa huku atapata wapi ?