Kumbe hujui kwamba wanasiasa wote wanapenda vyeo? Kinachofanya Mbowe akushike masikio ni nini?Si kama vile yule wa ccm kila siku analalamika ooh kazi ngumu sana hii,silali usiku kucha sijui nini lkn hataki kuachia hayo madaraka anayodai ni magumu kwake.
Waache wavune walichopandaMtu ambaye hakuwahi kuwa hata katibu kata wala hajawahi hata kuzindua shina la wakereketwa leo anawafukuza wenye chama , Je hii ni sawa ?
Kumbe hujui kwamba wanasiasa wote wanapenda vyeo? Kinachofanya Mbowe akushike masikio ni nini?