Video : Kamanda Mbowe alipowasili kwenye Mkutano Hai

Membe ni mtu mkubwa na mwenye akili hawezi kufanya maamuzi kwa kufundishwa na wewe mchimba visima

In God we Trust
 
Kuna Watu wengine mmmmh. Hivi mliowaita hayo Majina mbona wamerudi tena huko walikotoka na kupokelewa. Ukienda West ni Fisadi unasafishwa. Ukirudi East kimya, alienda tu kuchafua West. Waacheni Wanasiasa waharibu Bahati zao za kuongoza Dola.
 
Acha unafiki na uchochezi.Mbona jizi la nyumba unalikumbatia?
 
Halafu mnamwambia aache uenyekiti? Treatment na kunyeyekewa huku atapata wapi ?

Si kama vile yule wa ccm kila siku analalamika ooh kazi ngumu sana hii,silali usiku kucha sijui nini lkn hataki kuachia hayo madaraka anayodai ni magumu kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…