Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 40,051 Reaction score 51,217 Feb 28, 2020 #41 Ushawishi unazidi kupungua.
macho_mdiliko Platinum Member Joined Mar 10, 2008 Posts 29,500 Reaction score 61,451 Feb 28, 2020 #42 wa kupuliza said: Si kama vile yule wa ccm kila siku analalamika ooh kazi ngumu sana hii,silali usiku kucha sijui nini lkn hataki kuachia hayo madaraka anayodai ni magumu kwake. Click to expand... Kumbe hujui kwamba wanasiasa wote wanapenda vyeo? Kinachofanya Mbowe akushike masikio ni nini?
wa kupuliza said: Si kama vile yule wa ccm kila siku analalamika ooh kazi ngumu sana hii,silali usiku kucha sijui nini lkn hataki kuachia hayo madaraka anayodai ni magumu kwake. Click to expand... Kumbe hujui kwamba wanasiasa wote wanapenda vyeo? Kinachofanya Mbowe akushike masikio ni nini?
R Rasterman JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 33,856 Reaction score 44,204 Feb 28, 2020 #43 Erythrocyte said: Mtu ambaye hakuwahi kuwa hata katibu kata wala hajawahi hata kuzindua shina la wakereketwa leo anawafukuza wenye chama , Je hii ni sawa ? Click to expand... Waache wavune walichopanda
Erythrocyte said: Mtu ambaye hakuwahi kuwa hata katibu kata wala hajawahi hata kuzindua shina la wakereketwa leo anawafukuza wenye chama , Je hii ni sawa ? Click to expand... Waache wavune walichopanda
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,209 Reaction score 37,871 Feb 28, 2020 #44 macho_mdiliko said: Kumbe hujui kwamba wanasiasa wote wanapenda vyeo? Kinachofanya Mbowe akushike masikio ni nini? Click to expand... We kinachokufanya bwn yule akushike masikio kwa kukwambia yeye ni mnyonge ni nini?
macho_mdiliko said: Kumbe hujui kwamba wanasiasa wote wanapenda vyeo? Kinachofanya Mbowe akushike masikio ni nini? Click to expand... We kinachokufanya bwn yule akushike masikio kwa kukwambia yeye ni mnyonge ni nini?