Zanzibar 2020VIDEO - KAMPENI ZANZIBAR: Tundu Lissu awapa somo muhimu Wazanzibar na Watanganyika juu ya Muungano. Je, Magufuli - CCM anaijua historia hii kweli?
Sijui kama Mgombea Urais wa CCM mwaka huu ndg John Pombe Magufuli anaijua kwa ufasaha historia ya nchi anayoingoza na kuielezea mbele ya kadamnasi kama hii kwa ufasaha kama afanyavyo huyu msomi wa viwango vya juu kabisa, Mh. Rais wa JMT ndugu Tundu Lissu.
Ni wazi kuwa Bw. John Pombe Magufuli anachojua ni kukariri statement za kimazoea tu za waliomtangulia za kusema;
" .....nitaulinda muungano kwa gharama yoyote ile...."
Hebu tumshauri huyu msomi bandia wa udaktari wa korosho na kemia wa kupewa ajifunze historia ili kila analofanya awe anajua maana yake.
Na kumwambia hivi, kamwe siyo dhambi wala kumkosea heshima hata kidogo.
Ila Mungu fundi sana, hivi Magufuli, angepewa hata robo ya akili ya Lissu, na vile anapenda ajue kidhungu, na kutoa takwimu za kilomita za bara bara tungekoma.
Anachojua kwenye historia ya Tanzania ni Chato. Na maeneo mengingine yenye majina ya kiuasharati tu. Eneo la katerero na mto wake wa maji.
Kumuuliza historia ya Muungano Magufuli ni kumuonea bure.
Miaka 5 inatosha akapunzike, acheni kumsukumia huko.
Akikujibu, nishtue. Hawa ndio team ya Bashiru aliwaagiza juzi wajibu mapigo. Lakini maskini hawaelewi lolote matokeo yake wanakurupuka kama ngiri shimoni.
Akikujibu, nishtue. Hawa ndio team ya Bashiru aliwaagiza juzi wajibu mapigo. Lakini maskini hawaelewi lolote matokeo yake wanakurupuka kama ngiri shimoni.
Huyu jamaa ni zawadi kweli kutoka mbinguni. Naomba niseme kweli . Tundu Lissu kiakili na kiukweli namfananisha na wanasiasa wa kipekee zaidi tuliowai kuwa nao Tanzania ambao ni Julius Nyerere na Oscar Kambona!
Amani Msumari,
Shida ya Lissu ni hajui kuficha ukweli! Watanzania wengi tumezoea kuambiwa vitu vya kufikirika na CCM ndiyo maana nakuelewa kwa nini unapata shida kubwa kumwelewa!.Lissu kwake kama ishu ni red ni red and white is white and not in between.
Sijui kama mgombea Urais wa CCM mwaka huu ndg John Pombe Magufuli anaijua historian na kuielezea mbele ya kadamnasi kama hii kwa ufasaha kama afanyavyo huyu msomi wa viwango vya juu kabisa, Mh. Rais Tundu Lissu...
Mimi Ni CCM kindaki daki, Ila kwenye hili niwe muwazi. Nimeweka uchama pembeni, nikiwa Kama mtanzania nasema kwa dhati ya moyo wangu, Tundu Lissu hastahili kuwa Rais wetu