Uchaguzi 2020 Video: Kata kwa Kata yafika Kata ya Ruanda, Joseph Mbilinyi aendelea kusafisha mabaki ya CCM Mbeya Mjini

Uchaguzi 2020 Video: Kata kwa Kata yafika Kata ya Ruanda, Joseph Mbilinyi aendelea kusafisha mabaki ya CCM Mbeya Mjini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
CCM walidanganyika mno kudhani Uchaguzi wa 2020 ungekuwa rahisi, haifahamiki kama aliyewadanganya alikula njama au ilikuwa bahati mbaya ( tunaendelea kuchunguza )

Hapa chini nimeweka video fupi ili hata wale wenye bando la mashaka kutokana na kufa kwa Uchumi wa Tanzania wajionee kifo cha CCM Mbeya Mjini .
 
Sugu anataka afe kiume ila kwa rushwa alizotoa BETINA Mbeya kwa namna yeyote atatangazwa mshindi
 
Jidanganye tu itafanywa kashinda kwa sababu anakubarika na maTulia Fund yake shauri yenu
Wewe kama ni mwanaccm endelea kula hela za mwisho mwisho , Tulia hatofikisha hata robo ya kura za Sugu
 
Jidanganye tu itafanywa kashinda kwa sababu anakubarika na maTulia Fund yake shauri yenu
Wakaibe Dodoma na Singida na Ruvuma kwenye misukule ya CCM. Hii ni Mbeya, tutapata kura, tutalinda kura zetu na tutahakikisha matokeo yanatangazwa ambayo SUGU ndiye mshindi.

Hakuna Polisi wala JWTZ atakaye weza kutuliza ghadhabu ya wana Mbeya. Tumesema kuanzia mwaka 2017 kuwa TULIA ameshauriwa vibaya kuja Mbeya. Mbeya siyo Jimbo la kike, ni Jimbo DUME
 
Betina hamnazo, najiuliza akikonda kwa stress muonekano wake utakuwa vipi.
 
Sugu anataka afe kiume ila kwa rushwa alizotoa BETINA Mbeya kwa namna yeyote atatangazwa mshindi
Kama hawajipendi wafanye hivyo. Uchaguzi huu si wa kitoto, utaondoka na roho zao.
 
Back
Top Bottom