share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,064
- 10,468
Nchi nzima, wananchi wanaenda kupiga kura 28/10/2020 wakiwa na roho zao mkononi. Ama MAUTI au MAISHA, ama KIFO au UHAI. Ni uchaguzi wa kihistoria. Atakayeuvuruga, awe Magufuli au Tume zake (NEC/ZEC) na familia zao wawe wameikimbia nchi kabla ya kujitangaza kushinda uchaguzi.Wakaibe Dodoma na Singida na Ruvuma kwenye misukule ya CCM. Hii ni Mbeya, tutapata kura, tutalinda kura zetu na tutahakikisha matokeo yanatangazwa ambayo SUGU ndiye mshindi.
Hakuna Polisi wala JWTZ atakaye weza kutuliza ghadhabu ya wana Mbeya. Tumesema kuanzia mwaka 2017 kuwa TULIA ameshauriwa vibaya kuja Mbeya. Mbeya siyo Jimbo la kike, ni Jimbo DUME