Uchaguzi 2020 Video: Kata kwa Kata yafika Kata ya Ruanda, Joseph Mbilinyi aendelea kusafisha mabaki ya CCM Mbeya Mjini

Nchi nzima, wananchi wanaenda kupiga kura 28/10/2020 wakiwa na roho zao mkononi. Ama MAUTI au MAISHA, ama KIFO au UHAI. Ni uchaguzi wa kihistoria. Atakayeuvuruga, awe Magufuli au Tume zake (NEC/ZEC) na familia zao wawe wameikimbia nchi kabla ya kujitangaza kushinda uchaguzi.
 
Jidanganye tu itafanywa kashinda kwa sababu anakubarika na maTulia Fund yake shauri yenu

Mbeya pagumu raia hawamtaki betina hadi anaowapa rushwa wapiga debe wote wamevaa jezi wanakwambia kula kwa tulia lakini kura kwa sugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…