Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Huwaga hata sielewi, watu wakifanyiwa uhuni na ndugu zao au majirani wanaenda umbali mkubwa sana kwenye kisasi hata kulala na maiti, ila wakifanyiwa uhuni wa namna hii na mamlaka wanakuwa wanyonge sana.
Yale mambo ya uchawi au kulogana ni kwaajili yetu tu maskini na watu wa hali ya chini. Kwenye mambo kama haya ndiyo unapiga tukio, sio umechukuliwa mke au demu ndiyo unamsafiria mtuhimiwa alafu jambo serious kama hili unatulia tu.
Unaweza kuta mwamba anapambania haki yake mwenyewe kabisa, ndugu zake wamemuachia Mungu.