Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Usije kuhukumu maneno ya kusikia upande mmoja.Hawa viongozi wanatengeneza na kutuzalishia tu machk..
Haya huyo dogo hapo anasema amepigw na kubakwa
Hii nchi ina mmbo ya kngs sana
😄
Ova
Hii mbona ndio jadi, huko kwenye vijiji na kata,nilifika kijiji kimoja, Kahama, panaitwa kalumwa, hapo kijijini,mwenyekiti wa kata, anaogopwa, balaa, wanannchi wanamuita Trump, kuna vijana walinzi wa, mnara waliiba Sora panel, wakakimbia, WEO akatuma mgambo wakamate wake zao, wakaletwa kwenye mkutano wa, kijiji, Yule Dada hatq kiswahili hajuhi,anaulizwa kisukuma, huku Mwenyekiti wa kata, anamgonga kwenye magoti na rungu! Baadae Mme wake akakamatwa, akapigwa faini kulipa ngombe, ngombe anachinjwa wanakula wanaume tu!Tazama video inasikitisha sana...
Yapo baadhi ya mambo ukiyasikia unaweza kudhani pengine uko ndotoni!
Siku kadhaa zilizopita, liliripotiwa tukio la kushangaza, kustaajabisha, na kuhuzunisha kuhusu vijana wawili wanaodaiwa kufanyiwa ukatili wa kutisha na Mwenyekiti wa Kijiji cha Uleling'ombe, Kata ya Uleling'ombe, Kilosa, mkoani Morogoro, Generasko Tresfori.
Global TV imempata mmoja kati ya vijana hao wawili wanaodaiwa kufanyiwa vitendo vya kikatili na kiongozi huyo kwa kushirikiana na mgambo aliyetajwa kwa jina la Tegemea Maganza, wakituhumiwa kuiba simu ya mwenyekiti huyo.
Hapa kijana huyo anasimulia kwa uchungu jinsi alivyofanyiwa ukatili, tukio lililotokea Februari 25, mwaka huu.
Usukumani kawaida sana😭😭😭Hii mbona ndio jadi, huko kwenye vijiji na kata,nilifika kijiji kimoja, Kahama, panaitwa kalumwa, hapo kijijini,mwenyekiti wa kata, anaogopwa, balaa, wanannchi wanamuita Trump, kuna vijana walinzi wa, mnara waliiba Sora panel, wakakimbia, WEO akatuma mgambo wakamate wake zao, wakaletwa kwenye mkutano wa, kijiji, Yule Dada hatq kiswahili hajuhi,anaulizwa kisukuma, huku Mwenyekiti wa kata, anamgonga kwenye magoti na rungu! Baadae Mme wake akakamatwa, akapigwa faini kulipa ngombe, ngombe anachinjwa wanakula wanaume tu!
70% ya watumishi wa serikali ni watu wapumbavu sana. Mkuu Trust me.Daaaa hukoo kuna serikali kwelii ?? Aibuu sanaaa...