Video: Kijana mweusi aigiza kuwa nyani mbele ya Wazungu

Video: Kijana mweusi aigiza kuwa nyani mbele ya Wazungu

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Kumekuwa na mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi, na moja kati ya maneno yanayoashiria ubaguzi ni mtu mweusi kuitwa Nyani.

Kijana huyu ameonekana kwenye fukwe akiigiza na kufanya matendo ya mnyama Nyani hali iliyopelekea baadhi ya wazungu kucheka.

ANGALIA VIDEO HAPA


Unahisi kijana huyu amekosea kuigiza Nyani mbele ya umati wa Wazungu?

Written by Mjanja M1 ✍️
 
Hiyo ni sanaa tu msipende ku kompliketi mambo
 
Back
Top Bottom