The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Tunayo kila sababu ndio maana babu alisema sisi bado,hadi turudishwe utumwani ndio tutaamka.
Huyu Mwandishi wa Habari asipoteze muda wake kufanya mahojiano na huyo mbumbumbu.
Jambo hili lilikemewa na hiyo tabia ikakoma na hivi sasa mambo ni bam bam 🐒
Niandikie alichokisema.
Bongo mwandishi wa habari ni Kikeke tu, jamaa haogopi na anauliza maswali yenye mantiki
wapo wanaohoji bila kuogopa kama Kikeke lakini wengi uoga umetawalaBongo mwandishi wa habari ni Kikeke tu, jamaa haogopi na anauliza maswali yenye mantiki
Ndo maana akasema hamjaona kilichoendeleaMimi ninemuelewa, mama alishawafukuza. "Kimsingi unajua, najua unajua" majibu yapo hapa.